TV4Sale SAMSUNG INCHI 49

TV4Sale SAMSUNG INCHI 49

Muuza TV nakushauri uoe, hayo Maisha unayoishi ni ya kigheto ghetto sana naona michupa ya pombe chini na vitu haviko katika mpangilio mzuri. Hapo ukioa mke anarekebisha life panakua pazuri sana. Inaonekana hela ya kula unayo ila una mpangilio wa Maisha wa ovyo sana halafu utakuwa unamiliki Paso au IST
Hahahahaha asante kwa ushauri wako ndugu
 
JF ukijaa kuuza kitu Kama huna moyo mgumuu utaambulia stress tu. Kuna wakosoaji balaa.
 
Back
Top Bottom