Samsung S10 vs iPhone 7+

Samsung S10 vs iPhone 7+

Nani alikudanganya simu zenye snapdragon zinachemka,hapa natumia s10 5g ina miezi 2 haijawahi kchemka hata mara moja.mimi siku zote nanunua simu used na hazijawahi kuniangusa
S10 5g bei yake inaendaje?
 
Wakuu

Nina jambo Hapa niwaulizeni hivi kati ya Samsung Galaxy S10 na iphone 7+
Ipi ni sim Kali kuanzia storag ,ram ,camera nk
Maana naona hiv vitoto vnashobokea Sana iphone
Anyway binafsi Samsung nazchukuliaga ni zakibaba Ila iphone ni za vidada
Labda kwanzia 11 kwnda juu hzo n zakibabee
Oky achana na hyo story nataka mitazamo yenu kati ya mnyama S10 na mrembo i7+ nani Yuko vzur kulko mwnzie
Maana kuna kijitu huku ni kibishi aisee

Iphone 7 zinashobokewa coz zimeshuka bei + ni brand ya iphone ndio maana zinakimbiliwa. Ila usichukue sababu hazito support upcoming ios17 lakin pia ukicheki performance wise s10 iko juu.

Iphone ukitaka kali anzia 12 na kuendelea
 
Samsung hawanaga show mbovu.
Binafsi napenda sana hizi S series nikaanza na s4,s5,note4,s6,s7,s8+,s9+,s10,s10+,s20+ na sasa s10 5g nikiwa njiani kuelekea s21 ultra ambayo ndio simu yangu pendwa kwa sasa
Ktk simu zote hizo s20+ sikuipenda kabisa maana inakula chaji sana pamoja na betri lake 4500mah,pia camera zake ni ovyo sana hata mkao wake haina tofauti na A51,s8+ pia niliipenda sana ilikuwa na picha nzuri sana.,s9+ nayo sijui samsung walichemka wapi maaka haikuwa kali kivile nilikaa nayo muda mfupi nikaachana nayo.note 4 ilikufa yenyewe ndio maana tangu hapo sitaki note series
Ukitaka kufurahia samsung nunueni flaghship utaifurahia sana pesa yako
 
S10+ vp mkuu
 
Kufananisha Samsung Galaxy S10 na iPhone 7 plus ni sawa na kufananisha mbingu na ardhi.
Hiyo iPhone 7 plus ifananishe na S8 plus na sio S10
Hapo chukua Samsung haraka, Acha kujiuliza mara mbili mbili
Last week nimechukua s20+ 5G, duuuh aisee acha Samsung aitwe Samsung, ni noma
 
Mwaka 2006 time za kombe la dunia nilinunua Samsung Note 10+ ninayo mpaka sasa na betrii bado ni zima kabisa
Note 10+ ilitoka 2019 mkuu
Screenshot_20230418_160016_Samsung%20Internet.jpg
 
Back
Top Bottom