S10 5g bei yake inaendaje?Nani alikudanganya simu zenye snapdragon zinachemka,hapa natumia s10 5g ina miezi 2 haijawahi kchemka hata mara moja.mimi siku zote nanunua simu used na hazijawahi kuniangusa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
S10 5g bei yake inaendaje?Nani alikudanganya simu zenye snapdragon zinachemka,hapa natumia s10 5g ina miezi 2 haijawahi kchemka hata mara moja.mimi siku zote nanunua simu used na hazijawahi kuniangusa
Niliinunua 700k ni used but very clean mkuuS10 5g bei yake inaendaje?
Samsung hawanaga show mbovu.Niliinunua 700k ni used but very clean mkuu
Wakuu
Nina jambo Hapa niwaulizeni hivi kati ya Samsung Galaxy S10 na iphone 7+
Ipi ni sim Kali kuanzia storag ,ram ,camera nk
Maana naona hiv vitoto vnashobokea Sana iphone
Anyway binafsi Samsung nazchukuliaga ni zakibaba Ila iphone ni za vidada
Labda kwanzia 11 kwnda juu hzo n zakibabee
Oky achana na hyo story nataka mitazamo yenu kati ya mnyama S10 na mrembo i7+ nani Yuko vzur kulko mwnzie
Maana kuna kijitu huku ni kibishi aisee
Binafsi napenda sana hizi S series nikaanza na s4,s5,note4,s6,s7,s8+,s9+,s10,s10+,s20+ na sasa s10 5g nikiwa njiani kuelekea s21 ultra ambayo ndio simu yangu pendwa kwa sasaSamsung hawanaga show mbovu.
S10+ vp mkuuBinafsi napenda sana hizi S series nikaanza na s4,s5,note4,s6,s7,s8+,s9+,s10,s10+,s20+ na sasa s10 5g nikiwa njiani kuelekea s21 ultra ambayo ndio simu yangu pendwa kwa sasa
Ktk simu zote hizo s20+ sikuipenda kabisa maana inakula chaji sana pamoja na betri lake 4500mah,pia camera zake ni ovyo sana hata mkao wake haina tofauti na A51,s8+ pia niliipenda sana ilikuwa na picha nzuri sana.,s9+ nayo sijui samsung walichemka wapi maaka haikuwa kali kivile nilikaa nayo muda mfupi nikaachana nayo.note 4 ilikufa yenyewe ndio maana tangu hapo sitaki note series
Ukitaka kufurahia samsung nunueni flaghship utaifurahia sana pesa yako
Narudia tena acha kununua makapiS10+ vp mkuu
S10 + ni simu nzuri sana imekamilika kila idaraS10+ vp mkuu
Last week nimechukua s20+ 5G, duuuh aisee acha Samsung aitwe Samsung, ni nomaKufananisha Samsung Galaxy S10 na iPhone 7 plus ni sawa na kufananisha mbingu na ardhi.
Hiyo iPhone 7 plus ifananishe na S8 plus na sio S10
Hapo chukua Samsung haraka, Acha kujiuliza mara mbili mbili
2006?Mwaka 2006 time za kombe la dunia nilinunua Samsung Note 10+ ninayo mpaka sasa na betrii bado ni zima kabisa
Time traveller only2006?
Samsung Galaxy Note 10+???
Hii inawezekanaje [emoji849][emoji849]
HowMwaka 2006 time za kombe la dunia nilinunua Samsung Note 10+ ninayo mpaka sasa na betrii bado ni zima kabisa
Duuh2006?
Samsung Galaxy Note 10+???
Hii inawezekanaje [emoji849][emoji849]
Mpya zipoSizani kama kuna S10 mpya Bongo..zilizopo zote ni used ila in good condition na bra bra kibao ndani yake ..angalia usije uziwa kasha jipya
Note 10+ ilitoka 2019 mkuuMwaka 2006 time za kombe la dunia nilinunua Samsung Note 10+ ninayo mpaka sasa na betrii bado ni zima kabisa
Mimi nilikuwa nayo hiyo Note 10+ mwaka huo wa 2006Note 10+ ilitoka 2019 mkuuView attachment 2592058
Upande wa utunzaji moto vipi?S10 + ni simu nzuri sana imekamilika kila idara