Samsung S9, note 8 na A50

Samsung S9, note 8 na A50

Ryzen

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2012
Posts
7,301
Reaction score
8,706
Nataka tusaidiane na tupeane maarifa na ujuzi kuhusu Simu za samsung hasa hizi flagships za miaka ya nyuma kama S6, S8, Note 8 na S9 ambazo zinauzwa hapa Tanzania miaka kadhaa baada ya uzalishaji kupita!
wauzaji wengi wanadai hizi simu wanazouza ni mpya.. yaani wameimport brand new phones kutoka maybe China au Vietnam!

Je hawa wauzaji wanaoclaim kuwa hizi simu ni mpya ni wanadanganya kuvutia biashara au ni mpya kweli?

Pili kwa watumiaji waliowahi tumia hizi simu ipi ni bora kati ya S9 vs Note 8? na vipi kuhusu A50?

Asanteni sana!

cc: Chief-Mkwawa
 
Usipiteze muda izo ni Refub

ukitaka Mpya nenda official stores. ila ukienda Kko na makumbusho ni refub
Asante sana, maana jamaa wamenganga kuwa ni mpya yaani Full box
 
Kwa mazingira ya sasa kibiashara sikushauri kununua simu yenye zaidi ya mwaka sokoni tangu itoke, me natumia A50 tangu Juni mwaka jana na ilikuwa na miezi 3 tu sokoni. Kununua simu kunahitaji umakini sana mkuu.
 
nakuelewa sana mkuu!
 
Nataka tusaidiane na tupeane maarifa na ujuzi kuhusu Simu za samsung hasa hizi flagships za miaka ya nyuma kama S6, S8, Note 8 na S9 ambazo zinauzwa hapa Tanzania miaka kadhaa baada ya uzalishaji kupita!
wauzaji wengi wanadai hizi simu wanazouza ni mpya.. yaani wameimport brand new phones kutoka maybe China au Vietnam!

Je hawa wauzaji wanaoclaim kuwa hizi simu ni mpya ni wanadanganya kuvutia biashara au ni mpya kweli?

Pili kwa watumiaji waliowahi tumia hizi simu ipi ni bora kati ya S9 vs Note 8? na vipi kuhusu A50?

Asanteni sana!

cc: Chief-Mkwawa
Hizo simu sio mpya mkuu,

Fikiria hii logic ya kawaida, capacity ya samsung sio unlimited, wana uwezo fulani wa kuzalisha simu kwa mwaka. Kama mwaka huu wamezalisha s8, mwakani inabidi viwanda vya s8 vitumike kuzailisha s9.

Hakuna s8 ama s9 inayozalishwa 2020, zote ni used ama refurbished.

Na usidanganyike na Box, yapo kibao Agrey, kuna kipindi agrey walikuwa wananunua box la simu mpaka 20,000 ili waweke simu zao refurb na kudangaya watu.

Njia za kujua refurb ni nyingi ila rahisi kuliko zote ni kuzima simu, washa kwenye download mode angalia model yake, kama ni ya Usa, china, korea, japan na nchi nyengine kubwa ni refurb na kama ni version global ni used.

Pia unaweza download samsung info (baadhi ya simu inaweza dai root) itakuonesha ni mara ngapi simu yako imechajiwa ama kuchomekwa earphone.
 
Hapa nimekusoma sawasawa, zinakuwa na matatizo gani simu za aina hiyo!
 
Nataka tusaidiane na tupeane maarifa na ujuzi kuhusu Simu za samsung hasa hizi flagships za miaka ya nyuma kama S6, S8, Note 8 na S9 ambazo zinauzwa hapa Tanzania miaka kadhaa baada ya uzalishaji kupita!
wauzaji wengi wanadai hizi simu wanazouza ni mpya.. yaani wameimport brand new phones kutoka maybe China au Vietnam!

Je hawa wauzaji wanaoclaim kuwa hizi simu ni mpya ni wanadanganya kuvutia biashara au ni mpya kweli?

Pili kwa watumiaji waliowahi tumia hizi simu ipi ni bora kati ya S9 vs Note 8? na vipi kuhusu A50?

Asanteni sana!

cc: Chief-Mkwawa
Kuhusu A50 vs S8 vs s9

Kama mkuu hujui simu ama unajua lakini hutaki tu stress una mambo ya kutosha kwenye maisha yako Go for A50, ni simu mpya ina kioo kizuri na perfomance ambayo itafanya mambo yote ya kawaida.

Kama kwako kutweak simu una enjoy, unaweza weka custom rom, na una matumizi makubwa s8 ama s9 ni simu nzuri zaidi, zina nguvu na specs zake ni top. Ila refurb zinaweza kuwa pasua kichwa hujui kwanini ilirudishwa na kutengenezwa tena. Simu nyengine hazitengenezeki.
 
Mkuu unatakiwa uangalie model number baada ya kuiweka simu katika download mode kisha udownload firmware yenye model namba hiyo mfano
Galaxy Note 4 (SM-N910A)
Samsung Galaxy Note 4 (SM-N910A)
Model number ni compatible na device na sio kwamba inazingua au inaniletea error message hapana. Kila kitu kinaenda fresh mpaka mwisho ila ikimaliza pale simu inapoji-reboot haimalizi inaishia hapo hapo kwenye logo
 
Back
Top Bottom