Ryzen
JF-Expert Member
- Dec 6, 2012
- 7,301
- 8,706
Nataka tusaidiane na tupeane maarifa na ujuzi kuhusu Simu za samsung hasa hizi flagships za miaka ya nyuma kama S6, S8, Note 8 na S9 ambazo zinauzwa hapa Tanzania miaka kadhaa baada ya uzalishaji kupita!
wauzaji wengi wanadai hizi simu wanazouza ni mpya.. yaani wameimport brand new phones kutoka maybe China au Vietnam!
Je hawa wauzaji wanaoclaim kuwa hizi simu ni mpya ni wanadanganya kuvutia biashara au ni mpya kweli?
Pili kwa watumiaji waliowahi tumia hizi simu ipi ni bora kati ya S9 vs Note 8? na vipi kuhusu A50?
Asanteni sana!
cc: Chief-Mkwawa