Ina stuck kwenye logo haiwaki...niki access hard reset volume buttons zina freezeinakuandikieje mkuu!
Nimeiflash kwa odin lakini bado inaleta utovu wa nidhamuumeshadownload Firmware yake?
Mkuu unatakiwa uangalie model number baada ya kuiweka simu katika download mode kisha udownload firmware yenye model namba hiyo mfanoNimeiflash kwa odin lakini bado inaleta utovu wa nidhamu
Nina NOTE 4 ime stuck kwenye boot loop, nimeipisha kwenye odin still haija rekebishika
Hizo simu sio mpya mkuu,Nataka tusaidiane na tupeane maarifa na ujuzi kuhusu Simu za samsung hasa hizi flagships za miaka ya nyuma kama S6, S8, Note 8 na S9 ambazo zinauzwa hapa Tanzania miaka kadhaa baada ya uzalishaji kupita!
wauzaji wengi wanadai hizi simu wanazouza ni mpya.. yaani wameimport brand new phones kutoka maybe China au Vietnam!
Je hawa wauzaji wanaoclaim kuwa hizi simu ni mpya ni wanadanganya kuvutia biashara au ni mpya kweli?
Pili kwa watumiaji waliowahi tumia hizi simu ipi ni bora kati ya S9 vs Note 8? na vipi kuhusu A50?
Asanteni sana!
cc: Chief-Mkwawa
Hapa nimekusoma sawasawa, zinakuwa na matatizo gani simu za aina hiyo!Hizo simu sio mpya mkuu,
Fikiria hii logic ya kawaida, capacity ya samsung sio unlimited, wana uwezo fulani wa kuzalisha simu kwa mwaka. Kama mwaka huu wamezalisha s8, mwakani inabidi viwanda vya s8 vitumike kuzailisha s9.
Hakuna s8 ama s9 inayozalishwa 2020, zote ni used ama refurbished.
Na usidanganyike na Box, yapo kibao Agrey, kuna kipindi agrey walikuwa wananunua box la simu mpaka 20,000 ili waweke simu zao refurb na kudangaya watu.
Njia za kujua refurb ni nyingi ila rahisi kuliko zote ni kuzima simu, washa kwenye download mode angalia model yake, kama ni ya Usa, china, korea, japan na nchi nyengine kubwa ni refurb na kama ni version global ni used.
Pia unaweza download samsung info (baadhi ya simu inaweza dai root) itakuonesha ni mara ngapi simu yako imechajiwa ama kuchomekwa earphone.
Kuhusu A50 vs S8 vs s9Nataka tusaidiane na tupeane maarifa na ujuzi kuhusu Simu za samsung hasa hizi flagships za miaka ya nyuma kama S6, S8, Note 8 na S9 ambazo zinauzwa hapa Tanzania miaka kadhaa baada ya uzalishaji kupita!
wauzaji wengi wanadai hizi simu wanazouza ni mpya.. yaani wameimport brand new phones kutoka maybe China au Vietnam!
Je hawa wauzaji wanaoclaim kuwa hizi simu ni mpya ni wanadanganya kuvutia biashara au ni mpya kweli?
Pili kwa watumiaji waliowahi tumia hizi simu ipi ni bora kati ya S9 vs Note 8? na vipi kuhusu A50?
Asanteni sana!
cc: Chief-Mkwawa
Model number ni compatible na device na sio kwamba inazingua au inaniletea error message hapana. Kila kitu kinaenda fresh mpaka mwisho ila ikimaliza pale simu inapoji-reboot haimalizi inaishia hapo hapo kwenye logoMkuu unatakiwa uangalie model number baada ya kuiweka simu katika download mode kisha udownload firmware yenye model namba hiyo mfano
Samsung Galaxy Note 4 (SM-N910A)