Kudadeki wallah hii ya kwako itakuwa ya mtaa wa aggrey, yaan Samsung a50 una compare na tecno kweliNatumia A50 toka mwaka jana haina tofauti na tecno. Sema brand tu ndo nimenunua japo kukwepa dharau
Sasa hili langu liNote 9 cndo itakua nimeula baga,, japo hutak nipa Gcam yake mwaka wa 3 huu natuma maombiHizo za kariakoo ni refurbished tu...box wanauza separate watakufungia full box uone ni mpya...
Kuhusu a50,note 8 na s9..kama unajua kukagua simu vzr na ukabahatika kuipata note 8 na s9 iliyotulia basi umeula..
Ila kama hutak kesi za refubished basi chukua zako a50 tu...
Ila s na note hizo ndio beast
[emoji3][emoji3] sasa ww umeula nusu...ungepata note 8 international version ndio ungepiga baoSasa hili langu liNote 9 cndo itakua nimeula baga,, japo hutak nipa Gcam yake mwaka wa 3 huu natuma maombi
A NA M ni zile zile sema M zipo kwa ajili ya masoko maalum kama India.CHIEF MKWAWA
Samsung M31S vipi mbona kama specs zake zinakimbiza S,NOTE & A series za Samsung?
Tupia Specs zake nione tofaut[emoji3][emoji3] sasa ww umeula nusu...ungepata note 8 international version ndio ungepiga bao
Chakalika basi liGcam hilo au wataka Takrima,[emoji15][emoji3][emoji3] sasa ww umeula nusu...ungepata note 8 international version ndio ungepiga bao
Tofaut ni kweny chipset tu...lakin pia international zina support kubwa ya developers...Tupia Specs zake nione tofaut
OkTofaut ni kweny chipset tu...lakin pia international zina support kubwa ya developers...