fareed623
JF-Expert Member
- Apr 29, 2020
- 218
- 229
Kudadeki wallah hii ya kwako itakuwa ya mtaa wa aggrey, yaan Samsung a50 una compare na tecno kweliNatumia A50 toka mwaka jana haina tofauti na tecno. Sema brand tu ndo nimenunua japo kukwepa dharau