Yah, bei zimesimama kweli kweli ila ukipata ambayo ni full display lazima udate2024 nilisema nitaamia Samsung nitaanza na S23 au S22U.
Hadi sasa sijaweza. Bei kali sana.
Full display ni mziki mwingine. Mimi majuzi nilipewa S24 Ultra niifanyie settings fulani. Aiseee, balaa na nusu.Nilikutana na S22 Ultra, moja 700k nyingine 1,2m eti ya 700 naambiwa sio full display nikasema sitaki kuelewa tofauti. Enough.
Hakika kwenye vitu vizuri sacrifice lazimq.MKBHD anasema kwasababu wameenda thin, ndio maana battery imepunguq na telephoto lens wameondoa.
A55 na A56 ni simu nzuri kama una Budget za kati, A56 bei ya jumla ni 890K sasa hivi, A55 chini ya hapo.Nilikutana na S22 Ultra, moja 700k nyingine 1,2m eti ya 700 naambiwa sio full display nikasema sitaki kuelewa tofauti. Enough.
Pesa ya mboga hiyo mkuuHiyo Bei imechangamka, zaid ya 2.7M tsh. Lol
Duuh
Wacha wee?! Em sema kweli?!Pesa ya mboga hiyo mkuu
Nasema ukweli kutoka rohoni mkuu Pesa ya mboga hiyo Hahaha!!Wacha wee?! Em sema kweli?!