Samsung wamezindua Galaxy S25 EDGE: Slim zaidi ya Normal S25

Samsung wamezindua Galaxy S25 EDGE: Slim zaidi ya Normal S25

Hapana sio kweli mkuu. Tapeli huyo unless iwe na shida ya kioo.
Duh hii ni simu Ina miaka 5 tu lakini pia ni Moja ya simu niliipenda sana nikqiootezea na maduka mengi huku niliko wanauza 670000 mpaka 700000 used, ila jamaa kaniambia ni 350000 ningeahangaa why watu wanatumia simu mbovu za 400k wakati hii ni nzuri bei chee
 
Duh hii ni simu Ina miaka 5 tu lakini pia ni Moja ya simu niliipenda sana nikqiootezea na maduka mengi huku niliko wanauza 670000 mpaka 70000 used, ila jamaa kaniambia ni 350000 ningeahangaa why watu wanatumia simu mbovu za 400k wakati hii ni nzuri bei chee
Iko Bomba sana
 
Ubunifu umeisha kwenye smarphones, imagine feature kubwa ya simu ni kuwa nyembamba.
 
Nipo na samsang A10 aloo ni hatari wakuu, iko bomba ile mbaya.

Niliichukua pale mlimani city 1.3M mwaka huu mwezi wa 3.
 
Muonekano sio quality, ukishika highend kuanzia build quality hadi hardware zinakua ni top. Ukishika tu flagship baridi wa Alluminium compare na plastic ya lowend unaona utofauti.
Nina S 24 Ultra na A55
Natamani nikae naye tuone mfanano huo.
 
Nina S 24 Ultra na A55
Natamani nikae naye tuone mfanano huo.
A55 ni upper midrange of course itakua ime bridge gape la quality na flagship, kuanzia A35 kupanda zinatumia Alluminium frame.

Ila vitu vingine kama Camera, Display, perfomance utaona utofauti
 
Nipo na samsang A10 aloo ni hatari wakuu, iko bomba ile mbaya.

Niliichukua pale mlimani city 1.3M mwaka huu mwezi wa 3.
Hii ni zaidi ya kamba. Itakua umemaanisha 130K😁😁
Simu ya mwaka 2019 uuziwe bei hiyo tena series hiyo ndio bei cheee. Angalau ungesema a56
 
Hii ni zaidi ya kamba. Itakua umemaanisha 130K😁😁
Simu ya mwaka 2019 uuziwe bei hiyo tena series hiyo ndio bei cheee. Angalau ungesema a56
Inategemea na eneo ulikokuwa inauzwankama alisema ninmoimani hapo hata mafamba ya viatu ya mchina UNAKUTA ni laki 200000 wakati ni vitu vya 15000
 
Back
Top Bottom