Means kwa bei ya rejareja ni kuanzia 1M?A55 na A56 ni simu nzuri kama una Budget za kati, A56 bei ya jumla ni 890K sasa hivi, A55 chini ya hapo.
Hizi zina AI features karibia zote na full One ui 7 experience.
Mkadirie ukijua bei ya Jumla unamkadiria faida, watu wanaweka faida hadi 10,000Means kwa bei ya rejareja ni kuanzia 1M?
Muonekano sio quality, ukishika highend kuanzia build quality hadi hardware zinakua ni top. Ukishika tu flagship baridi wa Alluminium compare na plastic ya lowend unaona utofauti.Samsung hizi S Series kwa nyuma zinafanana tuu A Series wamepishana Padogo hata ukiwa na S ngapi watakuuliza hii ni A ngapi vile
Sorry duka lipi naweza pata a56 Kwa 850k?A55 na A56 ni simu nzuri kama una Budget za kati, A56 bei ya jumla ni 890K sasa hivi, A55 chini ya hapo.
Hizi zina AI features karibia zote na full One ui 7 experience.
Hapa singsung wamejitahidi kuwa wasafi wamepunguza makamera, waridi kwenye Moja kabisaYeah hujakosea tittle.
Samsung leo wamezindua Galaxy S25 EDGE ikiwa ni miezi mitatu tokea Galaxy S25 ya kawaida izinduliwe.
Hii Edge ni Special Edition ili ije kupambana na iPhone 17 Air itakayokuja zinduliwa September.
Galaxy S25 EDGE ni slim zaidi, ina battery dogo la 3900 mAh, Snapdragon 8 Elite for Galaxy, ina 12GB of RAM na 256GB au 512GB storage.
Bei ya base model ambayo ni GB256 itakua $1,100.
Kwa sisi wajarialiamali unafungua duka la uremboHiyo Bei imechangamka, zaid ya 2.7M tsh. Lol
Duuh
Bei ya Jumla wanayouziwa maduka ni 890K, wewe duka la kawaida at minimum Utaipata 900K.Sorry duka lipi naweza pata a56 Kwa 850k?
S21 5g ni shingapi hapa Dar mkuu Kuna jamaa KASEMA 350000 used kitu kimenishangaza je Kuna ukweli hapaBei ya Jumla wanayouziwa maduka ni 890K, wewe duka la kawaida at minimum Utaipata 900K.
Simu ya zamani hio utapata used tu (refurbished). Mara nyingi hizo simu za zamani bei inakuwa sawa na bei ya kioo, so hio bei ni sawa.S21 5g ni shingapi hapa Dar mkuu Kuna jamaa KASEMA 350000 used kitu kimenishangaza je Kuna ukweli hapa
Simu ya zamani hio utapata used tu (refurbished). Mara nyingi hizo simu za zamani bei inakuwa sawa na bei ya kioo, so hio bei ni sawa.
Hizo ni website kubwa ambazo refurb zake ni certified za manufacture.
Hiyo simu mbona NAAMBIWA 670000, na pengine 700000
Hizi ndiyo simu za kuwa na uangalifu nazo nilisikia kuna generation inakuja itakuwa na spy features, walipoulizwa Sumsung walisema ni kwaajili ya kujua customers' needsYeah hujakosea tittle.
Samsung leo wamezindua Galaxy S25 EDGE ikiwa ni miezi mitatu tokea Galaxy S25 ya kawaida izinduliwe.
Hii Edge ni Special Edition ili ije kupambana na iPhone 17 Air itakayokuja zinduliwa September.
Galaxy S25 EDGE ni slim zaidi, ina battery dogo la 3900 mAh, Snapdragon 8 Elite for Galaxy, ina 12GB of RAM na 256GB au 512GB storage.
Bei ya base model ambayo ni GB256 itakua $1,100.
HaswaaaKwa sisi wajarialiamali unafungua duka la urembo
Mkuu ikikupendeza namimi nipe kazi nifanye ili namimi niione hiyo hela ya mboga,Samahani mkuuNasema ukweli kutoka rohoni mkuu Pesa ya mboga hiyo Hahaha!!
Inakuwa imebadilishwa kioo au kioo kina dot. Mimi ninayo nilinunua kwa 400KS21 5g ni shingapi hapa Dar mkuu Kuna jamaa KASEMA 350000 used kitu kimenishangaza je Kuna ukweli hapa
Nakubaliana nawewe natumia A55 sio mbaya ni nyepesi balaaA55 na A56 ni simu nzuri kama una Budget za kati, A56 bei ya jumla ni 890K sasa hivi, A55 chini ya hapo.
Hizi zina AI features karibia zote na full One ui 7 experience.
Labda kwa asiyejua simu. Achana na S series mkuu hasa kuanzia S21 ni kitu kingine kile, tena ukiwa na full display ndo kabisa. Kioo cha Samsung hakina mpinzani jamani. Ile smoothness yake ni kali sana.Samsung hizi S Series kwa nyuma zinafanana tuu A Series wamepishana Padogo hata ukiwa na S ngapi watakuuliza hii ni A ngapi vile