Samsung yaachia Operating system update Andorid 12 kwa simu S21 Ultra

Mkuu umefanikiwa kuishika Galaxy S21 ultra? Ina premium features zote ambazo zimekua combined.
 
Nipo na ka A10s kangu hapa, nilikanunua kakiwa na Android 9 sasa kana Android 11. Hope January update ya Android 12 itanifikia tena.
 
Mkuu umefanikiwa kuishika Galaxy S21 ultra? Ina premium features zote ambazo zimekua combined.

Naelewa unachomaanisha , achana na features sijui performance nakwambia muonekano ile Design napenda squared shape
 
Ndo nakwambia hata muonekano S21 ultra ni balaa

Ndio ni balaa ila kungekuwa na Note 21 ultra, hiyo S isingefua dafu maana Note imekaaa kibabe, nlisikitika kweli Note series kuwa cancelled
 
huwa tunawaambia humu kuwa brand za simu ni 2 tu yaani samsung& iphone12&13 tu[emoji23][emoji23] hayo mengine ni mamikebe ya kutunzia laini[emoji23][emoji23][emoji23]
Wewe ni Sawa na watu wanaoamini gari Bora duniani ni TOYOTA tu bila kujua kuna brand nyingine ni njema zaidi. Kutuambia Samsung na iPhone ndo simu pekee bila kuspecify toleo ni kuonesha ulivyofungiwa kwenye box. Kuna matoleo ya Samsung na iPhone mbovu bora hata Infinix.
 
Infinix ni nini?
 
Hakika
 
Nipo na ka A10s kangu hapa, nilikanunua kakiwa na Android 9 sasa kana Android 11. Hope January update ya Android 12 itanifikia tena.
Hupati a10s ilitoka 2019,zinazopata ni kuanzia 2020
 
Note ni kali zaidi. Kwanza ni kubwa kiuwezo na hata kimuonekano. Ila uwe na gari sasa au uwe unatumia uber kwa usalama unapoibeba maana vibaka hawatakuacha salama
Sisi wenye flagship tablet ndiyo tunapata shida zaidi. Nikiwa mitaani na li Samsung Tab S7+ langu watu wananiangalia kwa macho yasiyoeleweka.
 
Kuna Samsung zinazoweza kuzidiwa na infinix lakini hakuna infinix inayoweza kumzidi iPhone ..
 
Hakuna infinix bora duniani.
 
Acheni Ufala ..iliyokuwa inapendwa Na kuuzika Sana Ni S series kuliko note.
Ndomaana note wameipiga chini.
Ingekuwa note ndo inapendwa basi S ndo ingepigwa chini halafu ficha zote Za S zikawekwa kwenye note
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…