Lusungo
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 28,259
- 41,416
Mkuu umefanikiwa kuishika Galaxy S21 ultra? Ina premium features zote ambazo zimekua combined.Binafsi Samsung hapa wameniboa yaani Wanaua Note series wakati ndio ilikuwa ina premium look.. chukua S20 au hata 21 na Note 20 ultra angalia muonekano na utaona Note ni way better, sasa wanatengeneza hiyo mi Galaxy Fold ambayo gharama zaidi na mibovu.. sijapenda walichofanya