Reuben Challe
JF-Expert Member
- Dec 10, 2021
- 2,940
- 5,511
Hapo itakuwa wamevuka mipaka [emoji28][emoji28]Waondoe spika na mic tutumie earphones
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo itakuwa wamevuka mipaka [emoji28][emoji28]Waondoe spika na mic tutumie earphones
Sim card ishaanza kuwa replaced tayari, tunapoelekea na simu zitakua replaced.So next wanaondoa nn? Maana wanapunguza kimoja kimoja nahisi simcard, volume na poweroff batan ndo vinafuatia kuondolewa
Kutakuja kitu gani sasa? Mbona kama hatujawa tayari kuachana na simu janjaSim card ishaanza kuwa replaced tayari, tunapoelekea na simu zitakua replaced.
Waondoe Android, waje na operating system mpyaHapo itakuwa wamevuka mipaka [emoji28][emoji28]
Charger ya Sony Xperia 1 IV (30W) inauzwa kwa £50 according to gsmarena.comAccessories za simu ni rahisi kupatikana na ziko very affordable
Hoja ya kusema charger uliipoteza hivyo unataka kwenye box uipate sidhani kama ina mashiko maana simu unayopewa mpya full box kumbuka pia haiji na protector wala cover ila unavinunua.
Soma uone hapa
View attachment 2598554
Hizo accessories unazoziongelea ni rahisi kupata labda za TECNO na Infinix ambazo ni za Oraimo.Lakini Accessories za Samsung na Iphone hazipatikani kirahisi na zikipatikana unakuta nyingi sio Original na ukikuta ni Original unakuta ni gharama Sana.Na unakuta hawakuwekei charger makusudi Ili wakupige Hela waingize Faida ukinunua charger separate, ngoja tuendelee kukomaa na One plus au Xiaomi.Accessories za simu ni rahisi kupatikana na ziko very affordable
Hoja ya kusema charger uliipoteza hivyo unataka kwenye box uipate sidhani kama ina mashiko maana simu unayopewa mpya full box kumbuka pia haiji na protector wala cover ila unavinunua.
Soma uone hapa
View attachment 2598554
Sio kweli, Samsung accessories zake zimezagaa madukani sana.Hizo accessories unazoziongelea ni rahisi kupata labda za TECNO na Infinix ambazo ni za Oraimo.Lakini Accessories za Samsung na Iphone hazipatikani kirahisi na zikipatikana unakuta nyingi sio Original na ukikuta ni Original unakuta ni gharama Sana.Na unakuta hawakuwekei charger makusudi Ili wakupige Hela waingize Faida ukinunua charger separate, ngoja tuendelee kukomaa na One plus au Xiaomi.
Hao watakuwa wapigaji tu.Charger ya Sony Xperia 1 IV (30W) inauzwa kwa £50 according to gsmarena.com
Hii bei ni kubwa kwa kitu kama charger
Hii design sio ya 2015Hiyo sony ni poor design, a phone from the past, 2015 design in 2023
Yaani mkuu Hawa Sony nawapongeza Sana Wanajaribu kuwa wabunifu Kwa malengo ya kuzidi kuwapa wateja wanachokitaka na sio kuigaiga mambo mengine ambayo yanaleta karaha Kwa mtumiaji wa simu .Sasahivi watu wanaotumia airpods Wana disadvantage ya kutakiwa kuzicharge Kila muda .Hii design sio ya 2015
Hata hivyo ni identity ya simu za Sony.
Wanatengeneza simu zenye 21:9 aspect ratio ambayo hutumika katika muvi nyingi. Sony wanasema kuwa zaidi ya 70% ya movies zilizopo Netflix zina aspect ratio ya 21:9. Kwa hiyo ukitumia hizi simu mpya za Sony kuangalia muvi yenye 21:9 ile movie itajaa kwenye screen yote bila kuacha nafasi au kuform black strips. Ndio maana simu zao zinaonekana ndefu na nyembamba kuliko simu nyingine.
Sony ipo kwa ajili ya movie fans ndio maana anaweka pixel density kubwa kwenye simu zake kuliko wapinzani mfano hiyo Xperia 1 IV ina 643ppi. Lengo ni kufanya uone details clearly ukiwa unaangalia movies.
Simu zao ni miongoni mwa simu zenye speakers bora sana tena kama hii Xperia 1 IV ina hadi base ya kutosha. Hii inaweza kuwafaa wapenzi wa mziki ila speaker Bora ni muhimu sana kwa wadau wa movie
Display ya Sony Xperia 1 IV inaweza kuswitch to 4K resolution ikiigundua tu unaplay video. Wakati hii inasababisha ulaji mkubwa wa chaji lakini lengo ni kukupa top notch experience ukiwa unaangalia movies
Bado anaweka microSD card slot ili uweze kuhifadhi movies kwenye memory card. Anakupa hadi uhuru wa kutumia 3.5mm jack ili uweze kusikiliza sauti ya kwenye movies kwa kutumia wired earphones
Ikiwa Sony imeweza kufanya mambo yote hayo ili tu ufaidi kuangalia movies basi hakuona shida kuchange aspect ratio pia ili iendane na ile ya kwenye movies. Ndio hiyo design unayoiona. Hakutaka kutumia kamera ya katikati ndani ya display area ili asipunguze nafasi ya kuangalia video/movies na wanaamini simu zao ndio Bora zaidi kwa kuangalia movies
Hiyo design inawafaa Sana wanaopenda kuangalia movies kwenye simu. Mi naona ipo poa sana
pixel alishaanza kitambo kutokuweka hiyo 3.5Mimi ni mpenzi mkubwa Sana wa simu za android na simu yangu pendwa ni Samsung lakini huku tunakoelekea naona kabisa nitaisaliti chama.Sababu ni kuwa Samsung wanaiga vitu vingi Sana ambavyo havina msingi kutoka Kwa kampuni ya simu ya Iphone.
Hivi ni vitu baadhi ambavyo Samsung kaiga kutoka Kwa Iphone na vimeleta mabadiliko hasi Sana kwa watumiaji wa hizi simu za Samsung;
1 Wameiga kuondoa 3.5 mm jack kutoka kwenye simu za Iphone ;
Mwaka 2017 iphone waliondoa 3.5mm jack ya kuingiza Ear phones kutoka kwenye simu zao za Iphone 7. Matokeo yake Iphone walipondwa Sana na watumiaji wake na kukemewa vikali na kupondwa na makampuni ya simu ikiwemo Samsung.Chanzo Cha kuondoa 3.5 mm jack ilikuwa ni sababu Iphone walishindwa kutengeneza kioo full screen huku 3.5mm Jack ikiwepo.Iphone wanadai kwamba waliondoa 3.5 mm jack Ili waweze kutengeneza full screen BIla kizuizi.Kitu ambacho simu za android ilishaweza kutengeneza huku 3.5 mm jack ikiwepo.Tuseme tu android phones ZIPO mbele kiteknlolojia zaidi ya iPhone .
Swali langu ninajiuliza kwanini Samsung waliamua kuondoa 3.5 mm jack kwenye simu zao Kwa kumuiga iPhone wakati wanajua Iphone waliondoa hicho kitu sababu ya kukosa teknolojia ya kutengeneza full screen BIla kutoa 3.5mm jack?
2 Wameiga kutoweka charger na cover za simu kwenye Box la Simu mpya kama wanavyofanya Iphone ;
Nasikitika Sana kuona Samsung wamepata ujasiri wa kupakia simu tu kwenye Box BIla charger Wala Cover kama simu zingine za Android zinavyofanya.Watu wanatoa mamilioni lakini hawapati product zilizokamilika kwenye Box.Ni upuuzi mtupu.
Wakati simu zingine za Android zinajitahidi kuweka Hadi pre installed screen protector na accessories za simu zinazohitajika Sana Samsung wapo busy wanazidi kuziondoa.
Mimi ni mdau wa Samsung lakini hapa niseme tu Samsung wamefeli pakubwa.
Ni ajabu kukuta Flagship phone kama galaxy S23 ultra imekuja tu na USB Haina charger ni upuuzi mtupu tu.
NI BORA NIHAMIE KAMPUNI ZINGINE ZA SIMU MAANA SAMSUNG WAMEBADILIKA KUWA IPHONE SIO WAO TENA.
Shame on you ShameSung
Sasahv napata tabu sana linapokuja suala la earphones. Nilinunua zile za Bluetooth bei chee case yake ikafa, nikanunua za waya type C na nilizitunza kwelikweli ghafla zikaanza kupiga sikio moja nazo zikafa. Na napenda za waya kuliko hizo za bluetooth.Kama unataka flagship yenye 3.5mm Jack basi nunua Sony Xperia 1 IV
Simu hii ina 3.5mm jack, ina SD card slot kwa hiyo utaweka memory card kama kawaida, inakubali 120Hz refresh rate. kwenye apps nyingi, ina speaker yenye base, ina clean software pia, kama wewe ni fan wa Stock Android.
Pia simu hii inakuruhusu kufanya livestream YouTube hata kama hujakidhi vigezo kama vile idadi ya subscribers, haijalishi Una subscribers wangapi kwenye simu hii utafanya livestream, ina kila unachokitaka
Ila kwenye suala la accessories itabidi Tu ukubali kwa sababu makampuni yanadai yanalinda mazingira. Kama unataka flagship yenye accessories walau basi nunua flagship za Xiaomi, Ila huko nako utakosa 3.5 mm jack na SD card slot.
Kwa mfano ukinunua Sony Xperia 1 IV unakuta simu Tu ndani ya boksi, unalazimika kununua 30W Sony charger kwa bei ya 50£
Binafsi naona kitu ambacho Samsung wanafanya ni Sawa tu. Kwenye S23 Ultra umewekewa hadi stylus pen, inatosha
Accessories tafuta mwenyewe.
Kwa sasa Sony ndio anajali kuweka 3.5mm jack kwenye flagship zake
Hii ni Sony Xperia 1 IV View attachment 2597560View attachment 2597561View attachment 2597562View attachment 2597563
Accessory genuine inayokuja na simu ni tofauti na hizi za kuokota Kkoo.Accessories za simu ni rahisi kupatikana na ziko very affordable
Hoja ya kusema charger uliipoteza hivyo unataka kwenye box uipate sidhani kama ina mashiko maana simu unayopewa mpya full box kumbuka pia haiji na protector wala cover ila unavinunua.
Soma uone hapa
View attachment 2598554
Duka gani?Utapata dukani.
Wataondoa simcard 1 natutalazimika kutumia EsimSo next wanaondoa nn? Maana wanapunguza kimoja kimoja nahisi simcard, volume na poweroff batan ndo vinafuatia kuondolewa
Analalamika kwa sababu huo ushenzi unaendelea hadi leoSHida sio SAMSUNG nadhani huna tu uelewa kuhusu faida ya mabadiliko yanayoendelea......na mbona swala la chaja haipo tangu S21 wewe umekuja kulalamika leo s23??? 3years mzeee