Samsung yazidi kuwa Iphone

Kabisa na hakika zingelikua zinawadhuru wateja wangesitisha
Wateja wanapata shida kutafuta charger, wireless earpods nyingi zinaharibika tu na ili upate zile nzuri bei nayo imenyooka. Hata hivyo kuna issue ya kuzichaji pia.
Mimi ailalamikii Sana hayo mambo kwa upande wangu kwa sababu sio mtumiajj wa hivyo vitu kama earphones Ila kwa
wapenzi wa haya mambo lazima roho ziwaume.
 
mkuu acha tuu, dunia ina mengi sana.
😂😂😂 ila nimekaa kwenye tasnia ya simu
Watanzania wengi hawana elimu ya mambo yahusuyo
Yaani wajinga kwelikweli
Mtu anaambiwa nunua hii haiflashiki
Ram inaongezeka hadi 16
Naye mtu na degree yake ananunua bila reasoning wala maswali
Na ni wabishiii
Mtu simu ina ram 16 inauzwa laki3 anaona kapata kweli kweli kumbe katapeliwa
 
My dear mimi ni mtumiaji na muuzaji pia
Nina samsung earbudslive huu mwaka wa 3
Huyo earpods zake zinaharibika za brand gani?
PIli swala la chaja lipo miaka 3 sasa kwa samsung amini nakwambia mteja anayenunua
S series
Fold
Flip huwezi kumsikia analalamikia chaja hakuna na akijua hakuna anataka ile OG kabisa
Hii ni sawa kwa wale wateja wa IPHONES latest series hawezi kulalamika chaja na hatanunua kanjanja atahitaji OG
 
Lakini sio kila earpods ni mbaya. Nzuri zipo Ila bei pia ipo juu ukilinganisha na wired earphones
Pia unafikiri watu wote wanaoununua S23 Ultra ni wale ambao walikuwa na Samsung S-series hapo kabla pekee?
Wengine ni new buyers. Ndio mara yao ya kwanza kununua S series halafu hawakuti charger. Wanapaswa kuspend hela nyingine pia kununua chaja baada ya kulipia dola 1400 kununua simu
 
Mhh!
Wanapataje shida na vitu vinauzwa madukani?
Pods gani hizo zinaharibika? Hapa nakataa, unless mnanunua za mchina toleo la mwisho ‘tsh 10k
Situmii earpods wala earphones. Natumia speaker ya simu
So sina experience. Nimerefer kwa malalamiko tu ya watu
 
Mhh!
Wanapataje shida na vitu vinauzwa madukani?
Pods gani hizo zinaharibika? Hapa nakataa, unless mnanunua za mchina toleo la mwisho ‘tsh 10k
Charger original ya Sony Xperia 1 IV ya 30W inauzwa kwa 50£. Hii bei ni kubwa kwa charger ya 30W
 
Mkuu wewe ni kama mimi sipendi za bluetooth kabisa, ninazo kama case mbili ila sizitumii, nikanunua za nokia original nmezitunza sana tahamaki nikazisahau pale bandarini wakati wa kusubiri usafiri.

Nikaona isiwe tabu nikanunua nyingine original za vietnam za waya lakini type-C dah juzi naona sikio moja halipigi nimegoma kukubali nazifumua nitizame waya umekatikia wapi niziunge sitaki kabisa adha ya kucharge earphones.
 
Mimi sijasema mbaya Boss...embu fikiri anayenunua earpod ya laki 3 akakaa nayo miaka na anayenunua za elfu 80 kila miezi 6 nani anasave? Hapo sijaangalia quality ya bidhaa na more advanced features.

By exprience mtu anayenunua Simu hatoki simu ya laki 2 akahamia milioni 2, katika 100 mteja huyu ni 1 na huwa wanatambo sana so swala la kununua huwa sio shida zake

Watu hupanda ngazi na kufika milions
Na cha ajabu sasa hata baadhi ya simu za Aseries mbona hazina chaji wala earphones pia
 
Haya naona wewe ni mdau earpods za samsung zisizo za kutumbukia maskioni original napata wapi? yaani ziwe style hii iliyokaa kizamani ndio nzuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…