Quality ila hazina deep bass sasa. Hio ni turnoff kwa wasikilizaji wengi wa earphones including me.Noise canceling wakati ndo zinazama mpaka kwenye ngoma? mimi nataka original bhana sio za wamachinga, hizo za nokia zilikuwa quality sana na haziumizi masikio.
Yeah ilikuwa usiku mkuu, nakuja stuka katikati ya usiku chumba ni bwawa 😀 circuit breaker imekata umeme. Maana simu ilikuwa kwenye umeme naichaji naiwekaga chini ya kitanda.Kwamba uliacha bomba wazi maji yakajaa hadi chumbani na simu uliacha ndani pia.😄😄
Hahahahah hakuna mfano wangu uko very relevant. Power hub ni tank la mafuta. Sasa how comes upewe gari halafu tank ukachongeshe wewe. Its similar to buying a charger.Mfano wako ni tofauti mzee
Kwanini usiseme uuziwe gari halafu bila kupewa wese full tank?
Ni swala la muda tu😂😂😂😂😂 sitakua sina akili kiasi cha kununua tecno wereva fold nitumie
Tank la mafuta ndio ukamilisho wa gari.Hahahahah hakuna mfano wangu uko very relevant. Power hub ni tank la mafuta. Sasa how comes upewe gari halafu tank ukachongeshe wewe. Its similar to buying a charger.
Utaitumia kwa muda gani? 😀Tank la mafuta ndio ukamilisho wa gari.
Bila tank la mafuta gari haiwaki labda utumie mchuzi juu uweke wese kwenye kopo la maji ya uhai.
Lakini kwenye simu, bila chaja simu inawaka na unaitumia. Na ndio maana simu unapoinunua unaikuta ikiwa tayari ina chaji kabisa
Kwa muda wa kutosha kukufikisha home ambako una chaja yako ya zamani au dukani ambapo utaweza kuinunua.Utaitumia kwa muda gani? 😀
Huo ni ujinga wa hali ya juu. Kwanini waamue ku assume kwamba una chaja ya zamani? Kama kimsingi hauna hio chaja ya zamani. What do you do then?Kwa muda wa kutosha kukufikisha home ambako una chaja yako ya zamani au dukani ambapo utaweza kuinunua.
Kila kitu na data mzee. Wao washafanya research wakagundua watu wengi wana miliki chaja za zamani.Huo ni ujinga wa hali ya juu. Kwanini waamue ku assume kwamba una chaja ya zamani? Kama kimsingi hauna hio chaja ya zamani. What do you do then?
Una uhakika hauna chochote cha kuchangia mkuu?Nice
Tecno fold bei gani?mkuu rudi tecno mana siku hizi kuna hadi tecno fold
Hahaha spika yenyewe iko chini ni kituko mkuu.Kama mmasai[emoji16]. Sasa kuna muda unataka kusikiliza vitu private na upo kwenye daladala!!
Yaani ilimradi tuteseke tu.Hahahahahah hizi nyanga zinaleta ear fatigue. Unapoweka mda mrefu sehemu ya sikio ambayo ina contact na frame ya earphone lazma utaskia inauma
Speaker ambayo ni maalumu kwa ajili ya calls inapaswa iwe juu ya selfie cameraHahaha spika yenyewe iko chini ni kituko mkuu.
Kila kitu na data mzee. Wao washafanya research wakagundua watu wengi wana miliki chaja za zamani.
Mfumo wa type C kwa flagship za Samsung ulianza 2017
Miaka 6 yote hiyo Samsung alikuwa anaweka chaja kwenye box.
Lakini pia
Mfumo wao wa chaji walio design kwenye simu ni very friendly karibia kila chaja inajaza fasta
So kutokana na kampeni ya kutokomeza plastic waste wao wameamua wasitishe utengenezaji wa chaja mpya. Na sio chaja tu vitu vingi vya plastic vinatazamiwa kusitishwa ikiwemo covers nk.
Ni kweliMkuu itoshe tu kusema umekuwa brainwashed na propaganda za kibiashara za kihuni za makampuni ya simu
Unapata wapi ujasiri wa kutetea ujinga kama huo wa uchafuzi wa mazingira?
Ukweli ni kwamba Apple waliopata mabilion ya dola kwa kuuza accessories baada ya kuzitoa kwenye box
Hii ndio sababu kuu na sio ujinga wa uchafuzi wa mzingira
Jamaa yangu alinunua S23 utra hadi leo hii amebadili kwa kununua charger zaidi ya 5 kwasababu kila charger aliyonunua au kuagiza online zilikuja kugoma kuchaji baadae
Hivi kweli uchukue chaja ya Samsung yako ya mwaka 2017 uanze kuchajia simu ya 2023?
Au unadhani kila charger inayoingia kwenye simu basi inafaa kuchajia?
Jiulize kwanini kila toleo linatoka na charger yake tena zinautofauti?
Mimi binafsi nina charger zaidi ya 20 za iPhone zilizo kufa kwenye store yangu ya makabrasha ghafi kwasababu kila charger ninayo nunua haimalizi mwaka inakufa
Lakini ningewekewa charger original kwenye box uhakika miaka 5 na zaidi
Na hili ndio tatizo la wabongo wengi, kuweka doubt kwenye kila kitu ambacho hawakielewi.Mkuu itoshe tu kusema umekuwa brainwashed na propaganda za kibiashara za kihuni za makampuni ya simu