Nucky Thompson
JF-Expert Member
- Sep 20, 2016
- 1,817
- 4,061
Duh! Anatukana hivyo?! Jitu Kubwa lakini jinga.
Nafikiri hakuna.Kuna msanii wa maana duniani
Kwa wasanii wa huko hapo kaongea kawaida sanaDuh! Anatukana hivyo?! Jitu Kubwa lakini jinga.
Ndio maana mtu anasema usiniletee usanii hapa, yaani, uhuni, uongo, ulaghai , upuuzi , ushenzi etcNafikiri hakuna.
Bongo MovieKuna msanii wa maana duniani
Bongo Movie
Plus na Hemed na RayNani! Wema?, Lulu?
Yeah!Waafrika hatuwezi kutunza ahadi
Sitakuja kudanganyika na kuamini eti wasani ni watu Fulani wenye hekima na busara. NOOOOOOO!!!!! Wasanii ni wahuni tena uhuni uliokubuhu..ukimuona mbele ya kamera anajifanya mtu Fulani mwenye hekima na busara..la hasha!! Nenda nyuma ya pazia au kwenye hiZo shoo zao..ni upuuzi na matusi tu..huwa nawashangaa sana wale watu wanaosema eti msanii ni kioo cha jamii...its nonsense!!! Eti na wengine nao huwafanya models wao..poleni sana.Nafikiri hakuna.
Ngozi nyeusi ina laana ya asili....hata uzaliwe merekani au wapi sijui ila ukizakiwa mweusi tu tayari tatizo....Ahadi ni deni – muigizaji mkongwe wa Marekani, Samuel L. Jackson ameonekana kuipinga ahadi yake aliyowahi kuitoa kuwa atahamia Afrika Kusini endapo Donald Trump atateuliwa kuwa Rais wa nchi hiyo.
Kupitia mitandao yake ya kijamii, Jackson aliandika, “If that motherf- -ker becomes president, I will move my black ass to South Africa.”
Hatimaye muigizaji huyo amekuja na ujumbe mpya kupitia mtandao wake wa Twitter, ameandika, “Why y’all so anxious for me to leave?! I pay More Taxes than All U Trumpafukkaz… Him too!!.”
Trump alichaguliwa kuwa Rais wa Marekani Jumatano ya Novemba 9, kwa kushinda majimbo ya uchaguzi 276 huku Clinton akishinda 218.