Samuel Jackson agoma kuhama Marekani baada ya Donald Trump kushinda urais

Nucky Thompson

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2016
Posts
1,817
Reaction score
4,061
Ahadi ni deni – muigizaji mkongwe wa Marekani, Samuel L. Jackson ameonekana kuipinga ahadi yake aliyowahi kuitoa kuwa atahamia Afrika Kusini endapo Donald Trump atateuliwa kuwa Rais wa nchi hiyo.
Kupitia mitandao yake ya kijamii, Jackson aliandika, “If that motherf- -ker becomes president, I will move my black ass to South Africa.”

Hatimaye muigizaji huyo amekuja na ujumbe mpya kupitia mtandao wake wa Twitter, ameandika, “Why y’all so anxious for me to leave?! I pay More Taxes than All U Trumpafukkaz… Him too!!.”

Trump alichaguliwa kuwa Rais wa Marekani Jumatano ya Novemba 9, kwa kushinda majimbo ya uchaguzi 276 huku Clinton akishinda 218.
x14701308_604888156339149_7873285733492981760_n.jpg.pagespeed.ic.imumSthRQF.jpg
 
Hiyo "motherfucker" ni kama kiunganishi cha maneno kwao hata wazee wanatumia
 
Nafikiri hakuna.
Sitakuja kudanganyika na kuamini eti wasani ni watu Fulani wenye hekima na busara. NOOOOOOO!!!!! Wasanii ni wahuni tena uhuni uliokubuhu..ukimuona mbele ya kamera anajifanya mtu Fulani mwenye hekima na busara..la hasha!! Nenda nyuma ya pazia au kwenye hiZo shoo zao..ni upuuzi na matusi tu..huwa nawashangaa sana wale watu wanaosema eti msanii ni kioo cha jamii...its nonsense!!! Eti na wengine nao huwafanya models wao..poleni sana.
 
Ahadi ni deni – muigizaji mkongwe wa Marekani, Samuel L. Jackson ameonekana kuipinga ahadi yake aliyowahi kuitoa kuwa atahamia Afrika Kusini endapo Donald Trump atateuliwa kuwa Rais wa nchi hiyo.
Kupitia mitandao yake ya kijamii, Jackson aliandika, “If that motherf- -ker becomes president, I will move my black ass to South Africa.”

Hatimaye muigizaji huyo amekuja na ujumbe mpya kupitia mtandao wake wa Twitter, ameandika, “Why y’all so anxious for me to leave?! I pay More Taxes than All U Trumpafukkaz… Him too!!.”

Trump alichaguliwa kuwa Rais wa Marekani Jumatano ya Novemba 9, kwa kushinda majimbo ya uchaguzi 276 huku Clinton akishinda 218.
x14701308_604888156339149_7873285733492981760_n.jpg.pagespeed.ic.imumSthRQF.jpg
Ngozi nyeusi ina laana ya asili....hata uzaliwe merekani au wapi sijui ila ukizakiwa mweusi tu tayari tatizo....
 
Back
Top Bottom