samuel999 yupo wapi?

samuel999 yupo wapi?

Tim Choice

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2013
Posts
2,088
Reaction score
1,261
Jamani swali kwako akina MK254 pamoja na wenzako,swahiba huyu Samueli999 mpambanaji kiboko cha Annaeli pamoja na zumbekuku wenzake, yupo wapi?

cc Iconoclastes,Waltham,Annael,MOTOCHINI,NairobiWalker,MK254.
 
Jamani swali kwako akina MK254 pamoja na wenzako,swahiba huyu Samueli999 mpambanaji kiboko cha Annaeli pamoja na zumbekuku wenzake, yupo wapi?

cc Iconoclastes,Waltham,Annael,MOTOCHINI,NairobiWalker,MK254.

Labda yupo kwenye harakati za kugombea ubunge.
 
Labda yupo kwenye harakati za kugombea ubunge.
😀😀😀!....Labda!, ngoja tuone kama atatuletea mrejesho, tatizo huwa ni akishafanikiwa mtu husepa na kuwasahau wenzake hususan sisi swahiba zake wa JF.
 
Pia yawezekana iwe ni wewe kweli maanake, kwenye ile ID nyingine una nambari 999 tatu hivi kama sijakosea, kwa hili pia una nambari 666 , kwa kifupi hulka na tabia ya kiumbe ni rahisi kuisoma na kuijua.
Wewe utakua unapenda nambaz hivi kama codes tukichunguza kwa makini...hilo tu laweza nipa kiburi cha kuamini kua ni wewe kweli.
 
Angalia profile yake na threads zake.

Sawa ntaangalia.
Lakini amenihuzunisha mhuni huyu,hakukuwa na haja ya uhuni huu alioufanya ,langu lilikua ni swali toka moyoni.

Alamsiki!
 
Aliye na taarifa anaombwa akaripoti kweny uzi huu, tafadhali!
 
Joking though

Ulinishtua,si wajua msimu huu wa uchaguzi watu hupotea burebure,hususan nyie mnaoishi kwenye dunia hilo la tatu...😀!..lisilo na usalama,bila shaka atakua yupo salama salmini naamini.
 
Kuna hio probability though. Lets wait and see
Ulinishtua,si wajua msimu huu wa uchaguzi watu hupotea burebure,hususan nyie mnaoishi kwenye dunia hilo la tatu...😀!..lisilo na usalama,bila shaka atakua yupo salama naamini.
 
Back
Top Bottom