samuel999 yupo wapi?

samuel999 yupo wapi?

Imagine!....hata mimi amenishtua, ama ni yeye kwnye ID yake ya tatu?....aaah labda jukwaa limevamiwa!
Huku mzee watu hawajali unatoa ya moyoni wala kichwani, jitu litaweza kukujibu ujinga tu, tafuta threads zake angalia profile alafu pm.
 
Jamani swali kwako akina MK254 pamoja na wenzako,swahiba huyu Samueli999 mpambanaji kiboko cha Annaeli pamoja na zumbekuku wenzake, yupo wapi?

cc Iconoclastes,Waltham,Annael,MOTOCHINI,NairobiWalker,MK254.

Yupo na anatumia I'D nyingine pia ipo Busy kule Dar Vs Nairobi
ila huyu mimi ningependa ajitokeze
maana kipindi hiki nimuhimu sana hapa jf
huyu yupo Upande wa NASA
Kiukweli Huwa anapovu zito kuhusu Uhuru

Aje atupatie Mambo ya NASA
 
Mvute aje huku Mkuu mheshimiwa, aje angalau tupate kuhakiki kua hajapotezwa na Mungiki wa jubilee wa akina MK254 msimu huu wa mapambano...😀😛
 
Mtu pekee huwa najiuliza kapatwa na nini
upande wa Wakenya ni Ab-Titchaz
huyu ni mode
lakini sijui alipatwa na tatizo gani
Ab-Titchaz Yupo hai kweli!?
Nimtu pekee Mkenya wa Jf asiye na Mbwembwe wala mijisifa,
Huleta habari humu za kila aina,Na sio zamisifa pekee.
Kipindi kama hiki Ulihitajika sana Ndugu
 
Kama harakati zake humu jf kuhusu Jubilee na Huko Ndivyo alivyo
Nahisi Alisha pewa bonge la onyo
hahaha
maana nimeshangaa kutokuona Thread yake wakati huu moto moto
 
Jamani swali kwako akina MK254 pamoja na wenzako,swahiba huyu Samueli999 mpambanaji kiboko cha Annaeli pamoja na zumbekuku wenzake, yupo wapi?

cc Iconoclastes,Waltham,Annael,MOTOCHINI,NairobiWalker,MK254.
Hehehe!! @Samueli999 huibuka mara moja moja, atakua anatafuta wadhifa wa MCA au ubunge pale Nakuru. Naomba asiwe ametupwa jela kama yule Mtanzana alikua anajiita Askari ambaye nashuku alikua jela maana alipiga kimya kwa muda mrefu akaja kuibuka juzi baada ya Magufuli kuwaachia huru wafungwa kwenye sherehe zao za muungano.
 
Yupo na anatumia I'D nyingine pia ipo Busy kule Dar Vs Nairobi
ila huyu mimi ningependa ajitokeze
maana kipindi hiki nimuhimu sana hapa jf
huyu yupo Upande wa NASA
Kiukweli Huwa anapovu zito kuhusu Uhuru

Aje atupatie Mambo ya NASA
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] you see this Burundian Propagandist Not today SAITAN!
 
Hehehe!! @Samueli999 huibuka mara moja moja, atakua anatafuta wadhifa wa MCA au ubunge pale Nakuru. Naomba asiwe ametupwa jela kama yule Mtanzana alikua anajiita Askari ambaye nashuku alikua jela maana alipiga kimya kwa muda mrefu akaja kuibuka juzi baada ya Magufuli kuwaachia huru wafungwa kwenye sherehe zao za muungano.
Ha ha ha ha! Nimwuite hapa?
 
Mtu pekee huwa najiuliza kapatwa na nini
upande wa Wakenya ni Ab-Titchaz
huyu ni mode
lakini sijui alipatwa na tatizo gani
Ab-Titchaz Yupo hai kweli!?
Nimtu pekee Mkenya wa Jf asiye na Mbwembwe wala mijisifa,
Huleta habari humu za kila aina,Na sio zamisifa pekee.
Kipindi kama hiki Ulihitajika sana Ndugu
BTW, kulikuwa na huyu jamaa alikuwa akiitwa Ab-Titchaz kapotelea wapi jamann?

upload_2017-4-30_8-35-59.jpeg
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] you see this Burundian Propagandist Not today SAITAN!

Kwa taarifa yako
nikiwa Kenya wengi hawajui kama ni mtanzania
wengi hunifahamu kama Msomari
hahaha ipo siku utakuja kutana na mrundi kweli,
Mwaka 2002 Nilikuwa nimpigie Kura kibaki
nikiwa Mombasa
Shida uoga wangu tu
ila kila kitu nilikuwa nacho
 
Jamani swali kwako akina MK254 pamoja na wenzako,swahiba huyu Samueli999 mpambanaji kiboko cha Annaeli pamoja na zumbekuku wenzake, yupo wapi?

cc Iconoclastes,Waltham,Annael,MOTOCHINI,NairobiWalker,MK254.
Hahaaaa al shabbabu walisha watekekeza siku nyingi huko somalia[emoji124] [emoji124]
 
Pia yawezekana iwe ni wewe kweli maanake, kwenye ile ID nyingine una nambari 999 tatu hivi kama sijakosea, kwa hili pia una nambari 666 , kwa kifupi hulka na tabia ya kiumbe ni rahisi kuisoma na kuijua.
Wewe utakua unapenda nambaz hivi kama codes tukichunguza kwa makini...hilo tu laweza nipa kiburi cha kuamini kua ni wewe kweli.
Siyo huyu 666 ni mtz soma nyuzi zake alizo anzisha ila 999 ni mkenya
 
Hehehe!! @Samueli999 huibuka mara moja moja, atakua anatafuta wadhifa wa MCA au ubunge pale Nakuru. Naomba asiwe ametupwa jela kama yule Mtanzana alikua anajiita Askari ambaye nashuku alikua jela maana alipiga kimya kwa muda mrefu akaja kuibuka juzi baada ya Magufuli kuwaachia huru wafungwa kwenye sherehe zao za muungano.

Kumbe alikamatwa?.....😱😱!...mamaweee!....huenda ameshibishwa mahalage za hapo Lupango, keshashiba huyo sawasawa.....pole zake kikanzu, kumbe?...😀mmh!
 
Back
Top Bottom