Tim Choice
JF-Expert Member
- Sep 28, 2013
- 2,088
- 1,261
Jamani swali kwako akina MK254 pamoja na wenzako,swahiba huyu Samueli999 mpambanaji kiboko cha Annaeli pamoja na zumbekuku wenzake, yupo wapi?
cc Iconoclastes,Waltham,Annael,MOTOCHINI,NairobiWalker,MK254.
😀😀😀!....Labda!, ngoja tuone kama atatuletea mrejesho, tatizo huwa ni akishafanikiwa mtu husepa na kuwasahau wenzake hususan sisi swahiba zake wa JF.Labda yupo kwenye harakati za kugombea ubunge.
Nipo mkuu ,hii ndio id yangu kumbe ulikuwa haujui?
Nipo mkuu ,hii ndio id yangu kumbe ulikuwa haujui?
Kwanini ukabadilisha, ni nini kilikusibu? ama ulichezea kichapo cha ban?
Sio yeye huyu, huyu mhuni tu analeta utoto humu.
Angalia profile yake na threads zake.Inawezekana pia.
Angalia profile yake na threads zake.
Aliaga dunia
Joking thoughBe serious jamani!
Joking though
Jokes gani hizo nyang'au wwJoking though
Jokes gani hizo nyang'au ww
Ulinishtua,si wajua msimu huu wa uchaguzi watu hupotea burebure,hususan nyie mnaoishi kwenye dunia hilo la tatu...😀!..lisilo na usalama,bila shaka atakua yupo salama naamini.