Tim Choice
JF-Expert Member
- Sep 28, 2013
- 2,088
- 1,261
- Thread starter
-
- #41
Hehehe Nimerudi mkuu
Naona mumenimiss hapa [emoji4][emoji4]
Hahaaaa al shabbabu walisha watekekeza siku nyingi huko somalia[emoji124] [emoji124]
Siyo huyu 666 ni mtz soma nyuzi zake alizo anzisha ila 999 ni mkenya
Hao polisi wanajitakia wenyewe kwa kudharau wananchi wanashindwa kuwa na uhusiano mzuri na RAIA wema kwaiyo watajijua mwenyewe ainihusuMwana ,nyie wanake bashite sijui mtajifunza lini?.. ugaidi haushabikiwi,kuna ndugu na dada polisi washapotea kabisa ,hata juzijuzi tu hapo Bongo,ila ukiliita jina stahiki tukio hilo utatupwa Lupango hapo hapo Bongo,shauri yako.
Hao polisi wanajitakia wenyewe kwa kudharau wananchi wanashindwa kuwa na uhusiano mzuri na RAIA wema kwaiyo watajijua mwenyewe ainihusu
Uzi wangu huu wa kwanza mwaka huu alfu mbili na kumi na saba,jamani mnipige sapoti ikaingie angalau kurasa kumi.
Nduguz yeyote kati yenu ana uhuru wa kuzungumzia chochote humu.
Iwe vijembe,shobo,mada za kihuni,ugaidi,mipasho,kujuliana hali,masengenyo na kadhalika.....ππ!
Ngoja nitafute habari mbaya za Kenya halafu niziongeze humu kukuongezea kurasa ππππ
Kibera tu kama kawa.....Ngoja nitafute habari mbaya za Kenya halafu niziongeze humu kukuongezea kurasa ππππ
Kibera tu kama kawa.....
Na karibu wote hudai kuwahi kuishi huko.....hahaha.Ndo zao hizo, kituo chao cha kwanza pa kutua wanapotoroka makali ya maisha Bongo.
Wanapapenda asilani.
Mimi sio mtu wa vijembeUzi wangu huu wa kwanza mwaka huu alfu mbili na kumi na saba,jamani mnipige sapoti ikaingie angalau kurasa kumi.
Nduguz yeyote kati yenu ana uhuru wa kuzungumzia chochote humu.
Iwe vijembe,shobo,mada za kihuni,ugaidi,mipasho,kujuliana hali,masengenyo na kadhalika.....ππ!
Na karibu wote hudai kuwahi kuishi huko.....hahaha.
Ina maana hiyo ndiyo hali yao ya maisha huko Bongo, ingawaje wanaikebehi wakiwa Kenya.
Mimi sio mtu wa vijembe
Mimi sio mtu wa shobo
Mimi sio mtu wa mada za kihuni
Ila nimechagua hapo underlined....
Shukrani.. nimeona ulikuwa unamtafuta ndugu yako mara akajitokeza Mtu mwingine [emoji16][emoji16]. PoleMmmh!..naona, nimekupata kwenye rada yangu!
Ahlan wassalan ......karibu!