TanzActive
JF-Expert Member
- Nov 14, 2007
- 367
- 73
Mkileta serikali mbili lazima ipigwe chini kweye kura ya maoni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Baada ya kutangazwa kwa wajumbe 201 wa bunge maalum la katiba napendekeza wabunge hao wamchague Mh, Sitta kuwa Mwenyekiti kwa kuwa alionesha kulimudu vyema bunge la JMT haswa katika mambo yenye maslahi ya taifa.
Natoa rai yangu kwa wajumbe wote 600 wasije chagua watu watakaopokea maelekezo kutoka serikalini. Katiba hii ni yetu na inahitaji mtu anayeona mbali na wala haongozwi na chama wala serikali.
Karibuni nanyi mpendekeze. Ni mdahalo wa wazi utakaowaongoza wajumbe kupata Mwenyekiti mwenye uwezo wa kulimudu bunge vyema, tusije pata watu kama akina Ndugai waliotawaliwa na usdhabiki na Jaziba.
NB tungepata mtu asiye na chama ingekuwa bora ila sidhani kama watakubali kumchagua mtu asiye na chama chochote cha siasa. hasa nje ya CCM
Mtikila si alisema anaenda mahakani kupinga mchakato mzimaMawazo yetu yanaweza kuwa dira ya kuwaongoza.
Pia si kila mtu anaweza kuwa mkiti tu kwa kuwa anaongea pointi, La hawa wanaoongea kama akina Tundu , Mtikila na wengine ni vyema wasiwe m/viti kwa kuwa wao tutawategemea katika kutoa michango.
umetumwa na nape au mwakyembe?
siku hizi kumbe mtu akitoa maoni yake katumwa,haya wewe umetumwa na nani.
pa pa pa pa pa makofi hayo, nimependa sana mapendekezo haya. Jiwe walilokataa washi litakuwa jiwe kuu la pembeni.
umetumwa na nape au mwakyembe?
Baada ya kutangazwa kwa wajumbe 201 wa bunge maalum la katiba napendekeza wabunge hao wamchague Mh, Sitta kuwa Mwenyekiti kwa kuwa alionesha kulimudu vyema bunge la JMT haswa katika mambo yenye maslahi ya taifa.
Natoa rai yangu kwa wajumbe wote 600 wasije chagua watu watakaopokea maelekezo kutoka serikalini. Katiba hii ni yetu na inahitaji mtu anayeona mbali na wala haongozwi na chama wala serikali.
Karibuni nanyi mpendekeze. Ni mdahalo wa wazi utakaowaongoza wajumbe kupata Mwenyekiti mwenye uwezo wa kulimudu bunge vyema, tusije pata watu kama akina Ndugai waliotawaliwa na usdhabiki na Jaziba.
NB tungepata mtu asiye na chama ingekuwa bora ila sidhani kama watakubali kumchagua mtu asiye na chama chochote cha siasa. hasa nje ya CCM
Jamii nzima ina matarajio makubwa na uongozi wa Samuel Sutta katika bunge maaluum la Katiba hasa kutokana na historia yake wakati wa Bunge la Tisa akiwa Spika.