Simiyu Yetu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 18,949
- 4,639
Tupe jina lingine mkuu tushindanishe.Mimi siamini kama samwel sitta ndio mtu pekee anayestahili kuwa m/kiti wa tume ya katiba.Wapo wengi ila hawapewi fursa,mfano Mahalu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tupe jina lingine mkuu tushindanishe.Mimi siamini kama samwel sitta ndio mtu pekee anayestahili kuwa m/kiti wa tume ya katiba.Wapo wengi ila hawapewi fursa,mfano Mahalu
Hayo ni mawzo yako kaka ila siyo uhalisia.Huyu ni CCM usitegemee fairness katika maamuzi yake.
Hayo ni mawzo yako kaka ila siyo uhalisia.
ziro wakati mabwana zako kila cku hawaachi kumsfiapruuuuuuu, pale mbele hapataki jazba, lissu zero kabisa.
Jamii nzima ina matarajio makubwa na uongozi wa Samuel Sutta katika bunge maaluum la Katiba hasa kutokana na historia yake wakati wa Bunge la Tisa akiwa Spika.
Tuwaachie wabunge wenyewe waamue, ila naamini SITTA hana tatizo.