Samweli Sitta anafaa kuwa Mwenyekiti wa Bunge la Katiba

Samweli Sitta anafaa kuwa Mwenyekiti wa Bunge la Katiba

Anafaa kuwa hapo, lkn atambuwe kuwa hiyo nafasi itamuondolea nguvu ya kuwa mgombea urais katika uchaguzi wa 2015 ,kujito a kwa Mh chenge kuna maana kubwa sana, Hivyo mzee sitta kama angejuwa hilo asingekimbilia hili
 
Jamii nzima ina matarajio makubwa na uongozi wa Samuel Sutta katika bunge maaluum la Katiba hasa kutokana na historia yake wakati wa Bunge la Tisa akiwa Spika.

Anahistoria gani huyu mzee zaidi ya Majungu kila kukicha na kujitentengenezea umaarufu asio kuwa nao. Anajifanya Mzalendo wa nchi yake asio kuwa nao mfano katumia pesa za umma mamilion kama sio mabilion kujenga ofisi ya Spika Urambo jimbo kwake isio na maana wala maslahi na waTz wala wana Urambo.Ivi alidhani atakaa ktk Uspika milele? Leo Jimboni kwake hakuna huduma hata moja ya maana yeye kila kukicha majungu tu Luwasa Luwasa Richmond na Akirudi Tabora Kapuya kapuya.sijui sifa yake njema mzee huyu zaidi ya Mujungu tu.
 
Pandu angeendelea ingekuwa poa.....hana mihemko
 
Back
Top Bottom