SIPENDI SIASA
JF-Expert Member
- Dec 28, 2024
- 791
- 1,199
Mbona kama utalii unaendana sana na masuala ya utamaduni na sanaa kama vile nguo na vinyago vya wamasai??
Sasa vinyago vya wamasai na habari, wapi na wapi wakuu?? Au sanaa za wamakonde na michezo ya Simba na Yanga ni wapi na wapi??
Hivi hawa wanaopanga hivi vitu ndani ya Wizara huwa wanawazaga nini??
Eti TCRA ipo chini ya Wizara ya Michezo badala ya kuwa chini ya Wizara ya Sayansi na Teknolojia..
~ SIPENDI SIASA ~