SIPENDI SIASA
JF-Expert Member
- Dec 28, 2024
- 791
- 1,199
Tanzania kama hauna connection, itaambulia patupu..Wahusikaa nazan wamekusikia mkuu ,omba wakukumbuke katk fikra zao watelekeleze utakalo....
Hata wangepekekwa wapi, muhimu ni kupunguza upana wa Cabinet na kuwa na watu competent kwenye wizara.Mbona kama utalii unaendana sana na masuala ya utamaduni na sanaa kama vile nguo na vinyago vya wamasai.
Sasa vinyago vya wamasai na habari, wapi na wapi wakuu?? Au sanaa za wamakonde na michezo ya Simba na Yanga ni wapi na wapi??
Hivi hawa wanaopanga hivi vitu ndani ya Wizara huwa wanawazaga nini??
Eti TCRA ipo chini ya Wizara ya Michezo badala ya kuwa chini ya Wizara ya Sayansi na Teknolojia..
~ SIPENDI SIASA ~
😀 Kumeanza kunoga nn hapo Dodoma?Mbona kama utalii unaendana sana na masuala ya utamaduni na sanaa kama vile nguo na vinyago vya wamasai.
Sasa vinyago vya wamasai na habari, wapi na wapi wakuu?? Au sanaa za wamakonde na michezo ya Simba na Yanga ni wapi na wapi??
Hivi hawa wanaopanga hivi vitu ndani ya Wizara huwa wanawazaga nini??
Eti TCRA ipo chini ya Wizara ya Michezo badala ya kuwa chini ya Wizara ya Sayansi na Teknolojia..
~ SIPENDI SIASA ~
Nipo Dar mkuu..😀 Kumeanza kunoga nn hapo Dodoma?
Mhh..Hivi hizi Wizara zote zilizopo zina msaada gani kwa industry husika ? Mimi naona kama tu ni kikwazo na kuharibu... Case in Point suala la Bundle katika mawasiliano TCRA na kina Nape na Wenzake tangia kipindi cha JPM cha kuleta mambo ya Bei elekezi ndio wametufikisha hapa.... (Bundle hazishikiki) hence bora wasingekuwepo (The only achievement wameleta lile Robot la Nape)
Sakata la Bundles - Suluhisho
Kutokana na Mvutano uliopo kati ya Serikali, Watoa Huduma na Wananchi kuhusu Bundles na Shutuma za Wizi inabidi sisi wananchi tuelewe tunataka nini na Wizi ni nini? Issue za Wizi: Kama kuna issue za Wizi na mtu kaibiwa kuna vyombo vya kisheria na TCRA inabidi mwananchi aweze kupeleka issue zake...www.jamiiforums.com
Huenda wazo lako wakalisikia maana kuliwahi kuwa na Wizara inayoitwa Ardhi, Maliasili na Utalii miaka ya 1970-1980Mbona kama utalii unaendana sana na masuala ya utamaduni na sanaa kama vile nguo na vinyago vya wamasai.
Sasa vinyago vya wamasai na habari, wapi na wapi wakuu?? Au sanaa za wamakonde na michezo ya Simba na Yanga ni wapi na wapi??
Hivi hawa wanaopanga hivi vitu ndani ya Wizara huwa wanawazaga nini??
Eti TCRA ipo chini ya Wizara ya Michezo badala ya kuwa chini ya Wizara ya Sayansi na Teknolojia..
~ SIPENDI SIASA ~
Utalii, Sanaa na Utamaduni ni kitu kimoja..Huenda wazo lako wakalisikia maana kuliwahi kuwa na Wizara inayoitwa Ardhi, Maliasili na Utalii miaka ya 1970-1980
Bila connection, bongo hautoboi..Huenda wazo lako wakalisikia