Sanamu la KEMET huko Misri

Huyo Ni Mohammed alikufa akiwa kibogoyo, very foolish Mohammed

Hili hata upewe miaka elfu wewe na wakubwa zako hamuwezi kulithibitisha.

Husemwa bora ujadiliane na wenye elimu miw moja unaweza kufaidika kuliko kujadiliana na mjinga mmoja,lazima atakupotezea muda. Hayo si maneno yangu.

Ila hili nililijua tu,sababu huwa mnasikia na kupenda kuambiwa,huu ndio huwa mwisho wa watu wajinga na wasio kuwa na elimu,yaani huwa mna ishia kutukana na kuwakosea adabu wabora wenu kwa kila kitu.

Bado nipo....!
 
Kitu kimoja tunachotakiwa tukikubali waafrika hasa wa sub- Sahara African tulichelewa kupata civililazation ..haya mambo mengine tunaonekana kama tunaiba historia za watu ..inakuwa kama afrocentric Fantasy ..mara utasikia Yesu alikuwa mweusi,mara black walijenga pyramid ,mara jews walikuwa weusi..tatizo ni moja hatuna strong evidence za kusapport claims zetu.
 
Wao ndio wanakubali haya, na wanafanya utafiti kila kukicha ingawa sisi ni kusoma tu ila bado tuko nyuma sana kiutafiti.
Acha watutafunie tu na sisi ni kumeza tu
 
Wao ndio wanakubali haya, na wanafanya utafiti kila kukicha ingawa sisi ni kusoma tu ila bado tuko nyuma sana kiutafiti.
Acha watutafunie tu na sisi ni kumeza tu View attachment 979172
Kuusu hii story ya Incient Egypt kuna michoro ndani ya pyramind inaonesha blaçks tulikuwa treated kama slaves ..hamna kipind katika historia mambapo blacks tulikuwa treated well na hawa white people including Warabu
 
Makabila yetu mengi yametokea kaskazini kwenda magharibi na kuja mashariki. Makabila yetu mengi tu yametokea huko Misri, Sudan na Ethiopia. Vita na ukame vimefanya tuje huku tulipo. Misri ya kale ilikua ya watu weusi ila imevamiwa na watu weupe kwa kipindi kirefu toka wagiriki,warumi na waarabu mwishoni. Pia tukumbuke majirani zao wa sudan wanamapiramidi mengi kuliko Misri ila hayana promo ili kudidimiza historia ya mtu mweusi.
 
Kuusu hii story ya Incient Egypt kuna michoro ndani ya pyramind inaonesha blaçks tulikuwa treated kama slaves ..hamna kipind katika historia mambapo blacks tulikuwa treated well na hawa white people including Warabu
Ni kweli in a way ingawa miaka ya nyuma sana walikuwepo hata jews
Watumwa walikuwepo lakini pia kulikuwa na black pharaohs ambao wali rule kwa miaka mingi sana kama Kings.
 
Ni mashetani

Ndio waliomuua abraham linkon

Jesuits Ni chama cha mashetan
Acha amini upumbavu wako walokole pia Kuna wachawi Freemasonry
Kibao
Elen G wht alikuwa masonry.
Hivyo Acha upumbavu wakuangalia upande mmoja wewe mshamba.
Na Google aujui tumia ngoja nikufundishe tumia.
Andika seven Adventist and Freemasons.
Islam and Freemasons.
Protestant and Freemasons.
Na Dini yeyote ongeza Freemasons ndo Uone Google mawazo ya watu
 
Sudan kuna Pyramids...? Sijawah sikia hiii
 
Sudan kuna Pyramids...? Sijawah sikia hiii
Ndio tena zipo nyingi kuliko Misri. Misri kusini na Sudan ndo makazi ya wanubi wa kale ambao waliwahi pia kuwa mafarao wa Misri. Wamisri na wanubi ni jamii moja yenye muingiliano mkubwa sana.
 
Ndio tena zipo nyingi kuliko Misri. Misri kusini na Sudan ndo makazi ya wanubi wa kale ambao waliwahi pia kuwa mafarao wa Misri. Wamisri na wanubi ni jamii moja yenye muingiliano mkubwa sana.
Sasa why yasiwe maarufu hayo ya Sudan
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…