The redemeer
JF-Expert Member
- Jan 28, 2025
- 4,778
- 8,232
👉Sanamu la uhuru lilibuniwa na mchoraji wa kifaransa anaye fahamika kama Fiederic Auguste Bartholdi, ambaye ni Freemason maarufu anaye julikana vizuri.
👉Freemasonry ni Ufundi (Craft). Na Ufundi huo (craft) katika Freemasonry unahusu kujenga Ubongo wa juu, Kujenga moyo bora na kujenga nafsi iliyo amka zaidi. Ufundi huo unahusu kujitambua nafsi yako, akili yako au ubongo wako, moyo wako, ufahamu wako na kujua jinsi gani ya kuendesha Ulimwengu huu kwa Ustadi. Ufundi huo unahusisha kuongezeka kwa uelewa wako na kuufikia ufahamu wa juu wa nafsi yako wewe mwenyewe na Ulimwengu.
👉Kwahiyo, si jambo la bahati mbaya kuona sanamu la Uhuru likiwa limegubikwa na alama au ishara za siri zinazotumika kama kivuli kuficha ujumbe muhimu na ujumbe maalumu kwa wachache. Hilo ni kwasababu msanifu wa sanamu hiyo alikuwa Freemason.
Ngazi iliyo jizungusha ndani ya sanamu hilo inawakilisha Uti wa mgongo. Na mzunguko au spiraling motion unao tokea katika ngazi hiyo ndani ya sanamu hilo inaonyesha na kuwakilisha jinsi gani nguvu ya kundalini huinuka na kupanda kupitia uti wa mgongo hadi kwenye ubpngo, huku ikiamsha sehemu zilizo lala za ubongo, ikiamsha ufahamu wa juu na kufungua nguvu nyingi zaidi ndani ya mwili na eneo la karibu linalo tuzunguka kama vile Aura n.k
👉Sanamu hili la uhuru ni alama inayo wakilisha Mwangaza wa kiroho (Enlightment) na Maarifa ya juu (Higher knowledge). @everyone