Kigoma Independent
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 3,519
- 2,055
Habrini wanajamvi:
Nimesikitiahwa sana na mtu mmoja ambae ametoa ya moyoni kwa kupinga kuwa ZUCHU sio msanii namba moya wa kike hapa nchini[emoji23][emoji23][emoji23].
Inabidi watanzania tuache kukaza fuvu kwa kujifariji na wakati namba hazifanganyi na kipaji akijifichi, na kwa Hali hii ZUCHU Hana mpinzani kwa Tanzania na kwa Afrika kwa ujumla.
Yaani anaemzidi kwa Afrika ni SIMI tu afu ZUCHU namba mbili, ko kusema sijui utopolo NANDY, MAUA SMA WALA NANDY nikutwanga mahi kwenye kinu au kusubiria embe chini ya mnazi au kusubiria feri nchi kavu au kuchemsha mawe ili yakwive.
Maana hauwezi mlinganisha ZUCHU maybe ni composer, songwriter, dancer, band, performer and singer na wasanii ambao ni singer na performer tu.
Yaani ogopa sana msanii/mwanamziki ambe anaumiza kichwa chini na kutunga mwenyewe afu na anae andikiwa.
HITOMISHO:::
ZUCHU (mwaka mmoja).
1.subscribers 800k+
2.total views 100m+
3.Boomplay 17m+ streams
4.Audiomack 18m+ total play
5.bonus sukari audio 6 hour 500k+
NANDY (miaka minne).
1.subscribers 600k+
2.total views 90m+
3.Boomplay streams 7m+
4.Audiomack 8m+ total play
5.Leo Leo Tena collaboration na koffie 6 hour 100k+
ZUCHU afananishi na yoyote kwa AFRICA isipokuwa SIMI.
SIJAMZUNGUMZIA DIAMOND PLATINUM KWASABABU NDIO MFALME HALISI AKIFUATIWA NA RAYVANNY AMBAYE NI PRINCE WAKE.
SANAMU ZUCHU NA DIAMOND ZINAWAHUSU POSTA.