Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Bwege huyo jamaa πππ atatutia njaa tu kubishana nae!Wewe mziki hujui
Hivi nyimbo ya Enika ya "baridi kama hii" inaweza kuwa na uzito kiasi gani compared na nyimbo zote za huyo Zunchu πππ
Nyimbo ya "Changanya Changanya" ya Enika atafananisha na nyimbo gani kwenye album ya huyo Zunchu!
Nyimbo ambazo zilitoka kabla hata hatujajua kama kuna mtu kama Zunchu atakuja kuwa msanii. Ila zina soul you can feel them with each and every beat. Sio hizo kelele za Eyo Laizer.
Kuna nyimbo na Muziki! Hizo anazoimba Zuchu ni Miziki sio nyimbo!