Duh! Bongo banaukweli ni kuwa mourinho anasumbuliwa na frustration za moto wa guardiola hadi ameingia chaka kwa sanchez. sanchezi ni kiazi kwa sasa na hatoipa mafanikio yoyote man u
mwezi wa tano mwaka huu 2018 atakuwa na excuse labda hajaizoea timu
lakini wadau tukutane tena 2019 na tuone jinsi garasa sanchez atavyochemsha
mourinho hakuwa na haja ya kulipa mapesa yote hayo kwa wiki kwa sanchezi amechemsha
wenger kamuingiza chaka mourinho na kampa bomu ambalo litakuja kumlipukia na huko aliko ni kama vile namuona mzee wenger anavyomcheka kimya kimya adui yake
mark my word!
Tatizo mleta uzi ameingiza ushabiki.Hakutarajia kumuona Sanchez akihama Arsenal.Ndio Tanzania yetu hiyo, mtu akijua tu kuyatamka majina ya wachezaji kwa mbwembwe na historia kidogo basi anakuwa mchambuzi wa soka!
Kwa hiyo ulitegemea akihama aende Abajalo ya Sinza!!? Ukisubiri mtoto kwa muda mrefu lazima akili ichanganyikiwe.nilitegemea ataondoka kinachonishangaza ni man u kubeba makapi
kiazi mwezie lukaku alianza na mbwembwe zaidi ya hizo, na sasa hivi naona kawa mkali zaidi anatoa assist had kwa man cityMashabiki wa aseno wa kuwahurumia,sanchez juzi katoa assist mbili za magoli murua leo unamwona garasa uliza huko timu yao ya Chile pia
Sawa Mkuukweli mkuu ila sanchezi kupata mafanikiio manu ni asilimia 0.00000000000
usimfananisha suarezi na sanchezi wapo tofauti kama maji na mafutaWewe ni mgonjwa kama wagonjwa wengine sasa hii nitathimini au tunguli muhangarie Luis shua pale bac wenye livo zako walisema kahama Liverpool sasa kaisha Leo ?????? Nenda na wakati usiende na siku
Mzee baba nimebaini wewe unahaba na mpira ufundi hunausimfananisha suarezi na sanchezi wapo tofauti kama maji na mafuta
we huoni huyo sanchezi wako alichemka barca suarezi ni level nyingine kijana
Lazima, tena itakuwa varangati ya kufa mtu, domo kaya hana kuremba...ukweli ni kuwa mourinho anasumbuliwa na frustration za moto wa guardiola hadi ameingia chaka kwa sanchez. sanchezi ni kiazi kwa sasa na hatoipa mafanikio yoyote man u