manchoso
JF-Expert Member
- Jul 27, 2011
- 1,605
- 2,055
ukweli ni kuwa mourinho anasumbuliwa na frustration za moto wa guardiola hadi ameingia chaka kwa sanchez. sanchezi ni kiazi kwa sasa na hatoipa mafanikio yoyote man u
mwezi wa tano mwaka huu 2018 atakuwa na excuse labda hajaizoea timu
lakini wadau tukutane tena 2019 na tuone jinsi garasa sanchez atavyochemsha
mourinho hakuwa na haja ya kulipa mapesa yote hayo kwa wiki kwa sanchezi amechemsha
wenger kamuingiza chaka mourinho na kampa bomu ambalo litakuja kumlipukia na huko aliko ni kama vile namuona mzee wenger anavyomcheka kimya kimya adui yake
mark my word!