Rabonn
JF-Expert Member
- Nov 7, 2018
- 5,789
- 11,106
Naona unawafunga watu "ving'amuzi" a.k.a speed governor.Mkasa wa kweli: Aliniambukiza UKIMWI, acha ningojee siku zangu nife
Nilikua mwajiriwa katika kampuni moja maarufu jijini Dare es salaam, katika kuajiriwa kwangu huko nikawa msaidizi maalumu wa bosi wa kampuni ile, basi siku moja moja nilikuwa naenda kujirusha na bosi wangu. Ukizingatia kwamba sikuwa na mume wala mchumba na kwa kweli huyu bosi ndio alikuwa mtu...www.jamiiforums.com
Ahahahah