Hela zote hizo anazopata hata kutengeneza kucha.
Mmmmh
Wanazingua hawa.Hahahaaaa wanawake mna maacho. Mpaka niliposoma coment yako ndo nikarud kuangalia kikucha na kipande cha rangi nyekundu
[HASHTAG]#ujasiriamwili[/HASHTAG]
[emoji23][emoji23]hata mimi nimejiuliza hili swali.Hela zote hizo anazopata hata kutengeneza kucha.
Mmmmh
Shoga katengeneza dolali elf 10, lkn kucha kuzipaka rangi kashindwa hahahaaaa kuna mtu kampa amshikie lbdNgoja TRA wamuone watadai chao, hahah sidhani kama alikumbuka kutoa risiti!
Biashara anayofanya ya msingi kiuno kwaraha zake aendelee kula ujana...
Mkuu unaongea sanaUnafikri Kukaa Uchi Mitandaon ni kaz nyepesi malipo yake ndio hayo,
Assets atanunua siku 'akitoka' sasa hivi ndo anapambana nitoke vipi. Hiyo aliyopata ataikimbiza kwenye kausafiri ka kutembelea mjini kwanzaAf unakuta ata nyumba hajajenga ,,cielewagi shida yao ni nn,,hawanaga ata assets yan
Ahwapi hawanaga utamaduni huo,wema ana asset gani? Bora shilole ana biashara zakeAssets atanunua siku 'akitoka' sasa hivi ndo anapambana nitoke vipi. Hiyo aliyopata ataikimbiza kwenye kausafiri ka kutembelea mjini kwanza