Sanchoka alipwa $10,000 Kigali. Kafanya show gani jamani?

Sanchoka alipwa $10,000 Kigali. Kafanya show gani jamani?

instagram

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
2,118
Reaction score
4,863
Katika hali ya kustaajabisha mrembo wa dar anayetisha kunako choo ametupia katika ukurasa wake wa snapchat akiwashukuru kigali kwa kumuingizia $10,000. Jamani kwa umbumbumbu wangu mwenye kunijuza anisaidie kujua huyu sanchoka ni msanii wa fani gani? Na kigali alifanya show gani na wapi kwa kipaji kipi hadi kulipwa pesa nyingi hivi? Mbona vipaji vimekuwa kimyakimya hivi?
74026a16639b72ac7d8f5b16a5595b16.jpg
e28fbf7aa8ec2838056efc283167738f.jpg
4d89635e5f8f89ebd300741a211f5ec7.jpg
57eb7b856cd7319be4e30f176347af0c.jpg
b57a9cb04e20b5c621bad036e33b5fc9.jpg
c62995a7c4a811dd252bff0da4e1263e.jpg

Baada ya kuingia na kutoka bureau de change[emoji116][emoji23][emoji23]
c6babe988395d0f4bcae4d872c66e3b7.jpg
 
Hahahaaaa wanawake mna maacho. Mpaka niliposoma coment yako ndo nikarud kuangalia kikucha na kipande cha rangi nyekundu

[HASHTAG]#ujasiriamwili[/HASHTAG]
Wanazingua hawa.
Kesho na kesho kutwa wanakabwa. Kumbe mtu alitumwa tu bureau de change kubadilisha hela
 
wekeni picha na mbwembwe zake tusiomjua na sisi tumhonge kama ana vigezo na masharti..
 
Ngoja TRA wamuone watadai chao, hahah sidhani kama alikumbuka kutoa risiti!
Biashara anayofanya ya msingi kiuno kwaraha zake aendelee kula ujana...
 
Ngoja TRA wamuone watadai chao, hahah sidhani kama alikumbuka kutoa risiti!
Biashara anayofanya ya msingi kiuno kwaraha zake aendelee kula ujana...
Shoga katengeneza dolali elf 10, lkn kucha kuzipaka rangi kashindwa hahahaaaa kuna mtu kampa amshikie lbd
 
Af unakuta ata nyumba hajajenga ,,cielewagi shida yao ni nn,,hawanaga ata assets yan
 
Af unakuta ata nyumba hajajenga ,,cielewagi shida yao ni nn,,hawanaga ata assets yan
Assets atanunua siku 'akitoka' sasa hivi ndo anapambana nitoke vipi. Hiyo aliyopata ataikimbiza kwenye kausafiri ka kutembelea mjini kwanza
 
Assets atanunua siku 'akitoka' sasa hivi ndo anapambana nitoke vipi. Hiyo aliyopata ataikimbiza kwenye kausafiri ka kutembelea mjini kwanza
Ahwapi hawanaga utamaduni huo,wema ana asset gani? Bora shilole ana biashara zake
 
Back
Top Bottom