Asee,shukrani ngoja niongeze mapambano ya kutafuta $Dollar 500 normal services
Dollar 800 wazee wa vibe Kama lote
.....hit and run.....Hapa ni eat and run..ukiweka kambi umeumia
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3],aiseeDaah!!Yani hapo ukioa ndani unatakiwa uwe na dawa za pressure zote za kupanda na kushuka,Mana Kuna siku itapanda na Kuna siku itashuka!!
Namuomba Mungu wanangu wasiwe na Mama kama huyu wa kupiga picha kuonyesha umbo lake😬 HasaraMrembo wa kichaga anaetamba bongo kutokana na umbo lake matata, ameonya watu kuacha kutumia picha zake kwenye matangazo ya dawa zao za kuongeza makalio kwani no kuwapotosha wadada
Sanchoka anasema" watu wanatumia picha zangu kwenye kutangaza dawa zao za kuongeza makalio wakati Mimi sijawahi hata siku moja kutumia, umbo langu nimelisi kutokana kwa mama yangu na namshukuru kwa Hilo".
Sanchoka amemalizia kwa kusema watu wasimkulie poa kwani umuhimu was nyumba siku zote no choo.
Picha sanchoka akiwa na mama yake mzaziView attachment 908439View attachment 908442View attachment 908443View attachment 908444View attachment 908447
labda unisaidieKwani lengo hasa la kupiga picha Nini mkuu?
Wanawake wa kichaga wote ni flat screen inch 50 ,ukiona ni Hitachi chogo basi jua hiyo ni Made in ChinaMrembo wa kichaga anaetamba bongo kutokana na umbo lake matata, ameonya watu kuacha kutumia picha zake kwenye matangazo ya dawa zao za kuongeza makalio kwani no kuwapotosha wadada
Sanchoka anasema" watu wanatumia picha zangu kwenye kutangaza dawa zao za kuongeza makalio wakati Mimi sijawahi hata siku moja kutumia, umbo langu nimelisi kutokana kwa mama yangu na namshukuru kwa Hilo".
Sanchoka amemalizia kwa kusema watu wasimkulie poa kwani umuhimu was nyumba siku zote no choo.
Picha sanchoka akiwa na mama yake mzaziView attachment 908439View attachment 908442View attachment 908443View attachment 908444View attachment 908447
MhhhMama ake ana mume?
Unaweza jikuta unapitia wote...Mungu atusaidie tu hyo mamake ndio chombo hatar zaid ya mtoto cmpatii picha mama MTU akiwa ndani ya bikini aiseeee