Bekabundime
JF-Expert Member
- Aug 6, 2014
- 2,017
- 1,733
Dr,Simba umefurahisha sana milioni kumi kwa hayo Matako watu walioyapiga vibao na hana nyuma wala mbele kote kumeshaharibiwa.Milioni 10 sababu ya iyo mitako au. .....mitako yenyewe wanaijua Dunia nzima
Homorapa hajakagonga kweli haka? maana nasikiaga "dawamondu" alishagapiga, na yule msanii wanamuita "class" naye tayari sijui kweli.!Dr,Simba umefurahisha sana milioni kumi kwa hayo Matako watu walioyapiga vibao na hana nyuma wala mbele kote kumeshaharibiwa.
Yaani. Unamiliki huku kila mkipita wanafahamu and alama sehemu Fulani. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Milioni 10 sababu ya iyo mitako au. .....mitako yenyewe wanaijua Dunia nzima
....But she is really very hot plus hiyo chura aisee...Mmh mm bado haujanipata
Sijajua kama ilishapostiwa mkuu lkn ni nin maoni yako hapo,upo tayari kutoa hio mahariHii thread ni marudio
anhaa, sawa..mmh uchumi unakaba M 10 parefu sitakuwa tayari aiseeSijajua kama ilishapostiwa mkuu lkn ni nin maoni yako hapo,upo tayari kutoa hio mahari
Mkuu salama?anhaa, sawa..mmh uchumi unakaba M 10 parefu sitakuwa tayari aisee
Anhaa sawa mkuu, nimekusikia ombi lako nitafanya hivyo..usijaliMkuu salama?
Naomba nikushauri jambo....
Unaonaje hiyo signature yako ukaifupisha maana inachanganya sana kwa namna ninavyoona hasa ukiandika text fupi.....
Ni hivyo tu mkuu.....
Kwel thaman yake ndogo kwel yaan milion 10 tu mi nilijua milion labda 30 na kuendelea wiki iliyopita tu shoga angu kaolewa kwa milion saba na si celebrity wala nin na huyo kaka kipato chake ni cha kawaida sana sasa huyo muuza sura kwel aiseees pandisha tenaMWANAMITINDO na video queen mwenye umbo tata Bongo, Jane Rimoy ‘Sanchi’ amefunguka kuwa thamani yake ni kubwa hivyo mwanaume anayetaka kumuoa lazima ajipange kwa mahari ya milioni 10 za Kitanzania.Sanchi mwenye figa matata alisema kuwa, siku zote wanaume wanaowaoa wanawake kwa mahari ndogo huwachukulia hivyohivyo lakini akilipa mahari kubwa hata heshima inakuwepo na uthamini pia.
View attachment 533607
“Unajua mwanaume wa kweli unampima kwenye vitu vidogo kama hivyo, mimi mahari nataka iwe ya heshima kabisa na kama mtu hana milioni hiyo 10 basi hana sifa ya kuwa mkewe na kunimiliki,” alisema Sanchi