Sanchoka: Bila mahari ya milioni 10 siolewi

MWANAMITINDO na video queen mwenye umbo tata Bongo, Jane Rimoy ‘Sanchi’ amefunguka kuwa thamani yake ni kubwa hivyo mwanaume anayetaka kumuoa lazima ajipange kwa mahari ya milioni 10 za Kitanzania.
Sanchi mwenye figa matata alisema kuwa, siku zote wanaume wanaowaoa wanawake kwa mahari ndogo huwachukulia hivyohivyo lakini akilipa mahari kubwa hata heshima inakuwepo na uthamini pia.

“Unajua mwanaume wa kweli unampima kwenye vitu vidogo kama hivyo, mimi mahari nataka iwe ya heshima kabisa na kama mtu hana milioni hiyo 10 basi hana sifa ya kuwa mkewe na kunimiliki,” alisema Sanchi.

Bila kujali umri, mitaala, afya, maumbile, nk?
 
Hivi huyu demu hana ndugu wenye akili timamu? Akiona wanaume hawammaindi inabidi asome alama za nyakati, hakuna mwanamme anayetaka mwanamke msindikizaji au chakula cha wote, watamtumia tu mwisho wa siku yeye mwenyewe akiona kachoka ataanza kuuza chapatti mtaani. Tunamsubiri.
 
hapo kila kitu cha kutengeneza ***** kuanzia ngozi,nywele, kucha, tu-makalio na kipapa afu unataka 10mil kwanini izo pesa nisiende kwa WEMA SEPETU au IRINE UWOYA tukazimaliza lakini na mimi natoka moyo msafi
 
Atakaemuoa kwa 10m atakuwa anabakwa na panzi.
 
Back
Top Bottom