Sanchoka: Bila mahari ya milioni 10 siolewi

Sanchoka: Bila mahari ya milioni 10 siolewi

Wabongo kupenda kujikweza!anataja milioni 10 wakati kwa mwezi hana hata uwezo wa kuingiza laki tano tu kwa akili zake
 
MWANAMITINDO na video queen mwenye umbo tata Bongo, Jane Rimoy ‘Sanchi’ amefunguka kuwa thamani yake ni kubwa hivyo mwanaume anayetaka kumuoa lazima ajipange kwa mahari ya milioni 10 za Kitanzania.
Sanchi mwenye figa matata alisema kuwa, siku zote wanaume wanaowaoa wanawake kwa mahari ndogo huwachukulia hivyohivyo lakini akilipa mahari kubwa hata heshima inakuwepo na uthamini pia.

“Unajua mwanaume wa kweli unampima kwenye vitu vidogo kama hivyo, mimi mahari nataka iwe ya heshima kabisa na kama mtu hana milioni hiyo 10 basi hana sifa ya kuwa mkewe na kunimiliki,” alisema Sanchi.

Huyu demu ni mqundu nn? 10m?...hiyo qumer yake ina peremende ndani?,inawezekana wala hana utamu km Wa demu wangu ninaemtomber kwa karanga za jero tu,na tena qumer ya mama yake huyo ataishia kutombwer kwa chips na beer tu,kuolewa atakusikia kwa wenzake qummer la mama ake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Milioni 10 sababu ya iyo mitako au. .....mitako yenyewe wanaijua Dunia nzima
Watu mnadharau nyie! Jamani mitako si ndiyo kipimo cha urembo wa mwanamke?
Kwani nyie mwanamke "bomba" huwa mnampima kwa kigezo gani kwa mfano.
Kwanza ukitoa mahari kubwa hata saikolojia yako inakufariji kuwa cha kwako unachokitumia wewe ni ghali kuliko vya wenziyo.
Sema nimepitwa na wakati, ningejitosa kumiliki kinachouzwa ghali kiasi hicho.
 
Huyu demu ni mqundu nn? 10m?...hiyo qumer yake ina peremende ndani?,inawezekana wala hana utamu km Wa demu wangu ninaemtomber kwa karanga za jero tu,na tena qumer ya mama yake huyo ataishia kutombwer kwa chips na beer tu,kuolewa atakusikia kwa wenzake qummer la mama ake

Sent using Jamii Forums mobile app

Samahani mkuu......Hivi wakati unakuja duniani ulipitia wapi?
 
MWANAMITINDO na video queen mwenye umbo tata Bongo, Jane Rimoy ‘Sanchi’ amefunguka kuwa thamani yake ni kubwa hivyo mwanaume anayetaka kumuoa lazima ajipange kwa mahari ya milioni 10 za Kitanzania.
Sanchi mwenye figa matata alisema kuwa, siku zote wanaume wanaowaoa wanawake kwa mahari ndogo huwachukulia hivyohivyo lakini akilipa mahari kubwa hata heshima inakuwepo na uthamini pia.

“Unajua mwanaume wa kweli unampima kwenye vitu vidogo kama hivyo, mimi mahari nataka iwe ya heshima kabisa na kama mtu hana milioni hiyo 10 basi hana sifa ya kuwa mkewe na kunimiliki,” alisema Sanchi.

Kitamuozea Na watu watakula kwa book 1.
 
Ndio hapo wanawake wengi wanapokosea na kujikuta 40yrs inaingia bado anasubiri 10m.Wanawake tambueni kuwa inapofikia swala la kuoa,wanaume hua hatuangalii uzuri wa umbo wala sura tunahitaji mke mwema na sio vinginevyo.
 
Huko mbeleni tutashuhudia vituko vingi kwa hawa video vixen "wengi wataolewa bure" kama vp subirini muone.
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]

Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom