Sanchoka: Bila mahari ya milioni 10 siolewi

Huu msambwanda nlisomanao class moja chuo.. Acha kabisa ni shida
 
Huyu kei anataka amkomoe mmewe dawa nikumpiga mimba nakumwacha azalie nyumbani kisha unaenda kulipa faini
 
*angalia itakula kwako na utahaha sana na huenda usije kuitwa Mama *
 
Dada yangu acha kujifanganya thamani ya mwanamke haipo katika kutolewa mahari kubwa. Love is beyond that. Unaweza pata wa kukulipia hadi milioni hamsini lakini ukawa umenunua Jehanamu duniani. Omna Mungu akupe Mume atakay kupenda, kukuheshimu na kukujali ukiwa mzima na katika hali ya ugonjwa. Umbo linayeyuka, mali zinayeyuka lakini true love always stay forever.
 
Wakati mwingine tumuogope Mwenyezi Mungu!!!! Niliona kumi haikutumika kwa wewe kuletwa duniami...
 
Mnajikosesha thamani wenyewe halafu baadaye mnaanza lawama na kuona hamthaminiwi. Wapo walioolewa bila mbwembwe kama zako na kwa mahali kiduchu lakini maisha waliyonayo ni yana thamani zaidi ya mahali unayotaja. Usitake kuwachafua wazazi kuwa badala ya kuzaa mtoto muadilifu walizaa duka(kitega uchumi).
 
Wasukuma wanaolewa mpaka kwa ng'ombe 50 chukua kila 1@400,000=20,000,000
Hapo ndo ujue watu wanafata heshima na siyo makalio
Mwaka juzi nilishuhudia kwa macho yangu shinyanga , wao wanajiita wanyantuzu, wazazi wa binti walipewa ngombe 47 ambazo kwa harakaharaka @ ni wastan wa 5kilo! Loo! Wanyantuzu nikawauliza, kwa nini wametoa mali nyingi kiasi hicho, je mtoto ni mzuri sana kupita kiasi? Wao walijibu, la hasha, nitabia ya binti na ukoo wao. Kifupi walinieleza uzuri si kitu cha msingi sana katika utoaji wa mahali usukumani. Ni tabia ya mwolew na familia husika. Vitu hivi viwili huwezi kuvitenganisha huko usukumani katika suala la kuolewa kwa mtoto wa kike. Kwa kuwa wao wamo humu, watujuze juu ya hili. Karibuni.
 


Sasa huyu ni mwanamke wa kuoa au wa kumchezea tu? Mwanamke wa ndoa anakuwa hivi? Watu wanapenda sana kujipa matumaini, changudoa hafugiki kamwe na hana kigezo cha kuolewa.
 
Unauza nini kwani? Ina ATM ndani? Hiyo milioni 10 mtu ukienda Nanjilinji si unarudi na wanawake fuso mbili. K ni K bwana.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]

Sent from my TECNO CX Air using JamiiForums mobile app
 
We endelea kusubir milion 10 huku watu wakikutusua kwa elfu 20 mwisho utakuja kupewa mahar ya laki unusu

Sent from my TECNO CX Air using JamiiForums mobile app
 
Time will tell..atashusha bei mill 10 mpaka buku mbili

Sent from my TECNO_N9 using JamiiForums mobile app
 
halafu akishaolewa anaachika baada ya miezi 2. hamna kitu kichwani dash yani.

what a bimbo (beauty without brains)
 
Mimi naona wanaume wenzangu wakina nmb,NBC,n.k wanaweza kupata mke kama huyo.[emoji122][emoji122]

Sent from my HUAWEI G6-L11 using JamiiForums mobile app
 


Hata hizi kiki zingine jamani, yaani changu kama huyu ni wa milioni kumi? Laki moja sawa ila si milioni kumi na hiyo laki moja ni kwa sababu ya kuchapa tu na kumuacha akianza vituko vya kuperuzi fesibuku na insta kila siku akijiuza kwa wengine.
 
Mtoto wa kichaga anauza k kwa ml 10...
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji6][emoji6][emoji6][emoji6][emoji6]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…