Sanchoka: Bila mahari ya milioni 10 siolewi

Bora nikanunue kiwanja kuliko kutoa hela yote hiyo bado mtu anakuja kusumbua

Sent from my Bravo Z11 using JamiiForums mobile app
 
Hizo stress na presha atazokupa bora hiyo million kumi ukanunue kiwanja Kibiti. Wanawake kama hawa ni wakugonga na kusepa vinginevyo utajipunguzia siku za kuishi.
 
mbona mahar ya m 10 watu kibao wanaolewa bongo na zaid ya hiyo

Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app
 
Aseeh ngoja tusubiri miaka mitatu ijayo kama jibu litakua hili hili
 
Ukiondoa makalio kwa kuwa me huwa siyatumii, mahari itakuwa kiasi gani?!
[emoji23] [emoji23] [emoji23]



Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app
 
Unauza nini kwani? Ina ATM ndani? Hiyo milioni 10 mtu ukienda Nanjilinji si unarudi na wanawake fuso mbili. K ni K bwana.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] K ni K [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my SM-T355 using JamiiForums mobile app
 
Mil 10 halafu nikute unanuka K...[emoji34][emoji34][emoji34][emoji34] nakutokea usingizini

Sent from my SM-G530H using JamiiForums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji28] umeniua mbavu eti kigari chake kama Mr Bean [emoji594]

anything you lose from being honest, you never really had to begin with.
 
HONGERA ZAKE

Sent from my HUAWEI P7-L10 using JamiiForums mobile app
 
[emoji53] Sasa hapo mil 10 kwa kipi? Kipi kigeni maana vyote wameviona nchi hii kasoro kilichofunikwa. Muda mwingine asitumie hilo fungashio lake kufikiri, vinginevyo atakuja kuomba kuolewa bure
 
Kila kitu kina mwanzo hao wanao mkojolea kabla ya kumuoa wanampa kiasi gani?

Malengo hayaji vuuupu kama mruko wa chura tena anapopigwa teke bila shaka yeyote ili atokee kwenye video inamgarimu kukojolewa.

Hiyo pesa sio kitu yeye kapanga kwa kuona nyingi kuna wanawake wa kawaida tu mikojo ya usiku mmoja tu anatoka na gari au thamani hy na zaidi.
 
So kwake 10m ni kubwa sana kuliko utu wake....waoaji wa sasa wana kazi kama wake wenyewe ndio wenye hizi Argument sijui uko ndan ya nyumba patakuaje cz akili ya mtu inareflect maisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…