Sanchoka: Bila mahari ya milioni 10 siolewi

Sanchoka: Bila mahari ya milioni 10 siolewi

Huyo video queen yupo kwenye wimbo gani..? isije ikawa kama Wema tunaambiwa ni msanii ameigiza mpaka na kina Van Viker
 
Mimi ninacho fahamu mwanamke anyeonesha maungo yake namna hii huwa wa kupiga na kuondoka. Unadhani nani anataka kuoa mtu ambaye uchi wake amekuwa akiuanika wazi. Huyo anajihami mapema ili isionekane kakosa mtu wa kumwoa.
 
Ahsante Mungu kwa kuumba mlango wa fahamu unao-control "taste!"
 
Hamna jipya mwenyewe anatembea ka mbuzi kitu waaazi ficha upata more than what it takes a range rover sio hiyo tairi ya gari tena used [emoji48][emoji51][emoji246]
 
kama anakuja na nyumba,gari na beki 3 hapo itakuwa Sawa,nitamuoa asubuhi tena harusi itafanyikia stendi...Ila kama ni Ivo alivyo nitamuoa kwa kumuandikia cheque kwenye toilet paper..aache utapeli M10!!!! chizi kabhisa
 
In other terms that's longterm prostitution.

Babangu alisema atatuoza bure kwasababu yeye anaamini mwanamke,hasa mtoto wake ni priceless.[emoji114]sjui lakini,ila mimi naamini mahari Ni muhimu ila siyo mahari kubwa. Naona mahari kubwa inashusha thamani ya mwanamke.
Watu wanaoona mahari kubwa ndio inaonesha thamani kubwa ya mwanamke,well and good,tumetoka katika familia tofauti.
Ila kweli
huyu mwanamke wa 10M akienda kufanyishwa mikazi,kupigwa hadi kuombwa tigo atalalamika?
 
Loh na wakati mm kwangu mahari mwisho 1mil, ten milioni? Baada ya harusi tunaishije?
Huko ni kuuzwa sasa.
 
MWANAMITINDO na video queen mwenye umbo tata Bongo, Jane Rimoy ‘Sanchi’ amefunguka kuwa thamani yake ni kubwa hivyo mwanaume anayetaka kumuoa lazima ajipange kwa mahari ya milioni 10 za Kitanzania.​
Akizung-umza na Star Mix, Sanchi mwenye figa matata alisema kuwa, siku zote wanaume wanaowaoa wanawake kwa mahari ndogo huwachukulia hivyohivyo lakini akilipa mahari kubwa hata heshima inakuwepo na uthamini pia.

“Unajua mwanaume wa kweli unampima kwenye vitu vidogo kama hivyo, mimi mahari nataka iwe ya heshima kabisa na kama mtu hana milioni hiyo 10 basi hana sifa ya kuwa mkewe na kunimiliki,” alisema Sanchi

Anazidi kuuthibitishia umma kuwa ni muuza MWILI,hana AIBU kabisa.Aendelee hiyo biashara hailipi tena watu wanaogopa Mungu wao maana maisha yanazidi kuwa mafupi.
Awaulize wazazi wake ,ndoa inauzwa bei gani?huu ni ujinga na ushamba,siku chache ZIJAZO atabadili KAULI "Ndao ya mkataba",ndio maana hampati waume, KAMA hajui alezwe,Mume ni zaidi ya bilioni sio milioni 10 yake,hatampata kamwe!
 
Basi sawa ila nashauri atakayependa kumuoa ahakikishe anaishi naye kwa mwaka mmoja kwanza ndiyo alipe hiyo mahari ili aweze kujiridhisha naye ikiwa ni pamoja na kum badilishia lifestyle aliyonayo kwa sasa ya kujianika nusu u**i na kujiridhisha na huduma za huduma za hiloeneo lilizaliwa na mchina.
 
Back
Top Bottom