Mi nyumba kubwa tena ya gorofaKaribu kwangu uwe nyumba ndogo yangu [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]
Kamatia msambwanda.Unauza nini kwani? Ina ATM ndani? Hiyo milioni 10 mtu ukienda Nanjilinji si unarudi na wanawake fuso mbili. K ni K bwana.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mi nyumba kubwa tena ya gorofa
Anazidi kuuthibitishia umma kuwa ni muuza MWILI,hana AIBU kabisa.Aendelee hiyo biashara hailipi tena watu wanaogopa Mungu wao maana maisha yanazidi kuwa mafupi.MWANAMITINDO na video queen mwenye umbo tata Bongo, Jane Rimoy ‘Sanchi’ amefunguka kuwa thamani yake ni kubwa hivyo mwanaume anayetaka kumuoa lazima ajipange kwa mahari ya milioni 10 za Kitanzania.Akizung-umza na Star Mix, Sanchi mwenye figa matata alisema kuwa, siku zote wanaume wanaowaoa wanawake kwa mahari ndogo huwachukulia hivyohivyo lakini akilipa mahari kubwa hata heshima inakuwepo na uthamini pia.
“Unajua mwanaume wa kweli unampima kwenye vitu vidogo kama hivyo, mimi mahari nataka iwe ya heshima kabisa na kama mtu hana milioni hiyo 10 basi hana sifa ya kuwa mkewe na kunimiliki,” alisema Sanchi
Umefikiria sanaMilioni 10 sababu ya iyo mitako au. .....mitako yenyewe wanaijua Dunia nzima
[emoji23] [emoji23] [emoji23] eti K ni KUnauza nini kwani? Ina ATM ndani? Hiyo milioni 10 mtu ukienda Nanjilinji si unarudi na wanawake fuso mbili. K ni K bwana.