Sanchoka: Bila mahari ya milioni 10 siolewi

Sanchoka: Bila mahari ya milioni 10 siolewi

Kwa wanaopenda mizigo, anastahili hiyo mahari.. zigo la kuvunja chaga


Nimeisha tengeneza chaga ambazo zinahisi uzito wako kisha automatic zinajiset kulingana na uzito wa mtu /watu wanaolala kitandani.
 
Nimeisha tengeneza chaga ambazo zinahisi uzito wako kisha automatic zinajiset kulingana na uzito wa mtu /watu wanaolala kitandani.
Hahaha basi lipa hiyo 10m uchukue zigo, ukaliamshie dude.
 
This is intelligence in disguise,kana akili sana haka kabinti kametamka hivyo ili kapate attention na kameipata kubwa tu kazi kwake kula vichwa sasa
 
Ngoma lizeeke bila kuolewa tujigongee kwa buku jero tu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] yaani huu Uzi umenivunja mbavu jmn akipita anaweza tamani ayarudishe maneno yke Mdomoni!!
 
MWANAMITINDO na video queen mwenye umbo tata Bongo, Jane Rimoy ‘Sanchi’ amefunguka kuwa thamani yake ni kubwa hivyo mwanaume anayetaka kumuoa lazima ajipange kwa mahari ya milioni 10 za Kitanzania.
Sanchi mwenye figa matata alisema kuwa, siku zote wanaume wanaowaoa wanawake kwa mahari ndogo huwachukulia hivyohivyo lakini akilipa mahari kubwa hata heshima inakuwepo na uthamini pia.

View attachment 533607

“Unajua mwanaume wa kweli unampima kwenye vitu vidogo kama hivyo, mimi mahari nataka iwe ya heshima kabisa na kama mtu hana milioni hiyo 10 basi hana sifa ya kuwa mkewe na kunimiliki,” alisema Sanchi

Million 10 , ndogo sana , ngoja tumpe teja mmoja lije likuoe.
Umasikini na upungufu wa akili
 
Hivi kumbe mkulu alisema kweli kuhusu watu kukimbia Dar ifikapo July
 
Kajazwe huko huna lolote...nani anataka kukuoa.....atakufuata atakutolea tu sisi wengine tunajua K no K tu
 
8cf7bf29b168eaf41c7645f01628d5fb.jpg

Kwa mkia huu ten natoa
 
Halafu unakuta bwawa lina maji mengi.........
 
Back
Top Bottom