Sanchoka kwisha habari yake,mashabiki zake walia kama watoto wadogo kwa kutokuamini kilichotokea

Sanchoka kwisha habari yake,mashabiki zake walia kama watoto wadogo kwa kutokuamini kilichotokea

Wacheni wazee watoe talaka aiseee. HAKUNA NAMNA
 
Mkuu wanaume wa dar utawaweza,kuna siku nimeona video dada yake diamond anacheza kitandani na njemba ina rasta wanasema eti marafiki na jamaa hata kibukta kutuna hakuna.
Unamzungumzia yule muuza mchele? Mchicha-Mwiba?
 
Back
Top Bottom