masoud mshahara
JF-Expert Member
- Mar 31, 2018
- 4,712
- 2,010
Huyu amestahili, sanchi akatafute size yakeMashabiki wa Sanchoka wamewajia juu waandaaji wa shindano la miss bam bam 2018 baada ya mlimbwende binti Salim kuchukua taji la mrembo mwenye umbo la kibantu zaidi huku Sanchoka akishika namba 2 kwa tofauti ya kura 2311, Instagram ni moto juu ya moto mida hii,yaani hakukaliki. Je Sanchoka atatudi nafasi yake 2019.?View attachment 937046View attachment 937047View attachment 937049