Sanchoka kwisha habari yake,mashabiki zake walia kama watoto wadogo kwa kutokuamini kilichotokea

Sanchoka kwisha habari yake,mashabiki zake walia kama watoto wadogo kwa kutokuamini kilichotokea

Waache kabisa kumfananisha Sanchoka ni vichokochoko

56120052_2286297594742541_3235383247575711744_n.jpg
56205162_2286297548075879_5639798376162656256_n.jpg
56184336_2286297554742545_8589548036353425408_n.jpg
 
Hivi anayempigaga picha sanchworld ni mwanaume kweli? Anavumiliaje kula kwa macho hiyo shida!!
 
Mashabiki wa Sanchoka wamewajia juu waandaaji wa shindano la miss bam bam 2018 baada ya mlimbwende binti Salim kuchukua taji la mrembo mwenye umbo la kibantu zaidi huku Sanchoka akishika namba 2 kwa tofauti ya kura 2311, Instagram ni moto juu ya moto mida hii,yaani hakukaliki. Je Sanchoka atatudi nafasi yake 2019.?View attachment 937046View attachment 937047View attachment 937049
mleta mada umebase kwa mshindi wako wa mfukoni kwa kuweka picha yake peke yake(tena zaidi ya 2 )

balance story[emoji23][emoji23][emoji375][emoji375]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi anayempigaga picha sanchworld ni mwanaume kweli? Anavumiliaje kula kwa macho hiyo shida!!
Mkuu wanaume wa dar utawaweza,kuna siku nimeona video dada yake diamond anacheza kitandani na njemba ina rasta wanasema eti marafiki na jamaa hata kibukta kutuna hakuna.
 
Back
Top Bottom