Sanchword abadili dini sasa kuitwa Surraiya Evarist Rimoy

Sanchword abadili dini sasa kuitwa Surraiya Evarist Rimoy

Hakuna dini rahisi kuchezea kama uislamu. Unaingia asubuhi jioni unatoka .unaoa mchana usiku unafukuza. Full zinaa na maigizo. Povu ruksa.
 
Hakuna dini rahisi kuchezea kama uislamu. Unaingia asubuhi jioni unatoka .unaoa mchana usiku unafukuza. Full zinaa na maigizo. Povu ruksa.
Upo sahihi kabisa.

Ukatoliki ni mgumu si mchezo.

Procedures zake ni kali kuliko kuomba Viza ya Marekani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Trako...trakoma
download.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna dini rahisi kuchezea kama uislamu. Unaingia asubuhi jioni unatoka .unaoa mchana usiku unafukuza. Full zinaa na maigizo. Povu ruksa.
Hivi usipoutaja uislam unakuwa unawashwa eeh? Kwa taarifa tu hakuna Uislam wa kuingia na kutoka kama ujuavyo na ukishatoka huingii tena. Then nyie ndio wazinifu mnaokaa na mabinti wa watu bila kuwaoa hadi mnawazalisha na watoto hadi wanakuwa wakubwa. Kwa kisingizio cha kubariki ndoa.

"ᴺᵒ ⁱᵐᵖᵒˢˢⁱᵇˡᵉ ᵗʰᵉ ʷᵒʳᵈ ⁱᵗˢᵉˡᶠ ˢᵃʸˢ ᴵ'ᵐ ᵖᵒˢˢⁱᵇˡᵉ"
 
Hao wote ni WASANII..walikuwa kwenye scene ya MOVIE FULANI..kwa siku tofauti tofauti..hawakuwahi kubadili DINI SERIOUS....huyo SURAIYYA IS REALLY MUSLIM NOW..HAKUWAHI KUWA MUIGIZA MOVIE.. ...mimi pia ni MKRISTO MKUU..KANIUDHI SANA,,KUBADILI DINI...hilo ZIGO sitoliona tena KANISANI..

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa ni nani aliyekupa habari za MUNGU na hiyo mizimu ya kiafrika kama hukuambiwa na watu?

Sent using Jamii Forums mobile app

Kusoma kuna raha sana. Ujinga wote wa kuambiwa na kubambikiwa dini zilizokuwa plagiarized unaonekana. Amini usiamini miaka 600 ya ubadhilifu na udanganyifu kwa watu weusi ukisoma utajuwa ukweli wake.
 
Back
Top Bottom