Hiyo DINI yako unayoabudu UUME imeletwa na nani..kama sio watu...Mbona nilishajibu kuwa sijawahi kuwa chizi nakushangaa wewe kuwa chizi kuamini dini za watu zisizo na tija maishani mwako.
Mkuu acha nipumue tu. Huyo dada kanitesa sana nyetoni.[emoji23] [emoji23] [emoji23] kama amebadili dini basi nami amenibadilisha dah!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Afu anajiamini Sana yule bintiSanchoka kila nikikufikiria dah !!!!! Una choo cha heshima kabisa
Upo sahihi kabisa.Hakuna dini rahisi kuchezea kama uislamu. Unaingia asubuhi jioni unatoka .unaoa mchana usiku unafukuza. Full zinaa na maigizo. Povu ruksa.
Ngoja wafturu watakujibuHakuna dini rahisi kuchezea kama uislamu. Unaingia asubuhi jioni unatoka .unaoa mchana usiku unafukuza. Full zinaa na maigizo. Povu ruksa.
[emoji23] anajiamini kuliko mwanaume wa MAKINIKIA mwenye DIGRII 4 aliyetolewa jalalaniKwa Tako lile asijiamini vipi?
[emoji23] anajiamini kuliko mwanaume wa MAKINIKIA mwenye DIGRII 4 aliyetolewa jalalani
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi usipoutaja uislam unakuwa unawashwa eeh? Kwa taarifa tu hakuna Uislam wa kuingia na kutoka kama ujuavyo na ukishatoka huingii tena. Then nyie ndio wazinifu mnaokaa na mabinti wa watu bila kuwaoa hadi mnawazalisha na watoto hadi wanakuwa wakubwa. Kwa kisingizio cha kubariki ndoa.Hakuna dini rahisi kuchezea kama uislamu. Unaingia asubuhi jioni unatoka .unaoa mchana usiku unafukuza. Full zinaa na maigizo. Povu ruksa.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hao wote ni WASANII..walikuwa kwenye scene ya MOVIE FULANI..kwa siku tofauti tofauti..hawakuwahi kubadili DINI SERIOUS....huyo SURAIYYA IS REALLY MUSLIM NOW..HAKUWAHI KUWA MUIGIZA MOVIE.. ...mimi pia ni MKRISTO MKUU..KANIUDHI SANA,,KUBADILI DINI...hilo ZIGO sitoliona tena KANISANI..
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo DINI yako unayoabudu UUME imeletwa na nani..kama sio watu...
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona unajichanganya akili....mimi naamini Mungu na mizimu yetu ya kiafrika si dini za watu kwani nao pia wanaabudu mizimu yao iliyoandikwa kwenye hivyo vitabu vyao.
Sasa ni nani aliyekupa habari za MUNGU na hiyo mizimu ya kiafrika kama hukuambiwa na watu?
Sent using Jamii Forums mobile app